Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli diamond anajua tatizo sasa hivi nyimbo zake sizielewi kabisa...Mimi nyimbo mbili mpaka leo nazisikiliza hizo tu..Nitampata wapi.na UkimuonaMkuu
Jamaa alikua talented sana
Mimi binafsi dunia nzima nasikiliza nyimbo za fally ipupa na baadhi za diamond (mfano ntampatawapi,nataka kulewa,i miss you)
Ila sikuizi naona nyimbo zake ndio kuna tatizo kama sio hivo basi lifestyle yake imemponza once again nasema jamaa ana kipaji ila saivi kuna tatizo mahali anakosea
Diamond ovyo tu minyimbo yake inatamba siku 2 ya 3 haina mvuto wakati King Kiba nyimbo zake ukizisikiliza utadhani kaitunga Leo yani nyimbo zina mvuto,kiukweli kwa wasanii wa hapa bongo ninaowasikiliza nyimbo zao ni Joh Makini na King Kiba ndo nyimbo zao ninazo sio hizo takataka nyingine
Wewe mdada..😉😉Hahaaaas kweli shetani akizeeka anageuka malaika Leo Diamond mnampambanisha na Davido pamoja na wizkid sio kibakuli tena .
Hana huo ubavu,toka amepigwa kibuti na zari,uwezo wake wa kufikiri umeshuka sanaSamahani ndugu lini aliwahi kuwazidi davido na wizkid?
Joh makini?Diamond ovyo tu minyimbo yake inatamba siku 2 ya 3 haina mvuto wakati King Kiba nyimbo zake ukizisikiliza utadhani kaitunga Leo yani nyimbo zina mvuto,kiukweli kwa wasanii wa hapa bongo ninaowasikiliza nyimbo zao ni Joh Makini na King Kiba ndo nyimbo zao ninazo sio hizo takataka nyingine
Umeandika point hapaNaweza nikasema Diamond na ruge wote wanategemeana kila mmoja amethirika kibiashara mfano ruge mpaka sasa fiesta inakuja lakini haieleweki wasanii gani atawatumia kujaza show mana mtaani ndo kunaongea mda wote wanasikiliza nyimbo za wasafi pia diamond wasanii wake mboso na lavalava wameshindwa kukuwa pia kuna wadhamini wakubwa wanashindwa kufanya mikataba nae kutokana na redio kubwa kutofanya promo ya kazi za diamond
Simba au dangote wa miaka mitatu iliyopita sio huyu wa sasa nadiriki kusema kageuka paka sio simba tena.
Simba wa zamani ilikuwa ni ngumu kumkuta bongo ratiba yake ilikuwa booked almost the whole year,hakuwa na muda wa majungu wala vijembe alikuwa busy na show kama sio show basi alikuwa na ratiba ya collabo na artist wa nje alikuwa hafikiki kirahisi.
Toka mwaka uanze mond hajafanya show yeyote kubwa wakati wakina Whizkid na Davido ambao walikuwa level moja nae au kawazidi wakiwa wanapasua anga mond yeye anazidi kushuka chini alifanya shoo chache london lakini zote zilidoda na nyengine akanusurika kichapo yeye na crew yake,
Muda mwingi yuko bongo akileteana majungu na wanawake zake kina Hamisa je tatizo nini?
Ujanielewa mkuu na maanisha hadhiraNo wonder... kumbe we ni meneja wake. Afadhali mmekubali kubadilika.
Dah, naona umeamua kumpa za uso jamaa. Wakati mwingine ni wivu tu, hakuna lolote, hapo anatamani yeye ndo angekuwa Diamond.Hata kama humpendi mtu lkn si kwa uongo huo, show Madagascar uliyoina au unaleta ushabiki, toka mwezi wa sita mpaka wanane jamaa kapiga show zaidi ya 20, hapo bado ana show Namibia mwezi huu, haya mwisho angalia ktk tamasha la one ambalo limejaa A list wa Africa Diamond yupo miji yote. Hivi ushajiuliza kwa nn, jamaa zenu na tamasha lao pendwa mpaka sasa wanashindwa kutangaza tarehe ya tamasha lao? Kama hujui WCB wameutawala mziki wa bongo fleva 80% kwa kifupi hamna mtu mwenye ubavu wa kuwakwepa WCB ,jamaa wameitawala social networking kwa kiasi kikubwa na kama hujui ni swala la muda tu lkn wadhamini wa wasafi festival tayari washapatika bado kupanga tarehe ya tamasha husika.
Eti tokea mwaka huu hajafanya show? Hivi unatumia simu ya tochi, hivi hujamsikia Victoria kimani akilalamika baada ya Diamond kupewa hela ndefu alipozindua album yake Kenya na nje ya hapo Kenya peke yake mwaka huu kapiga show zaidi ya tano, UK kapiga show zaidi ya nne, moja iliahirishwa na maafisa wa usalama sababu watu walijaa wengi huko Bingham. Haya mwisho angalia A list ya One festival
View attachment 864565View attachment 864566
Hapo bado ana show Canada miji mitatu au labda unamzungumzia Diamond mwengine au labda umetumwa umuharibie kwa mzushia jamaa, kwa kifupi mwaka huu hayupo msanii yoyote aliyepiga show kumzidi Mondi na jamaa kila siku anakuwa, nchi za kusini mwa jangwa la sahara ambazo hajapiga show ni Angola, lkn nchi zote kamaliza tena kafanya kwenye open space.
Acha kutetea wanawake wenzio, waliyataka wenyewe, Diamond anawakilisha tabia ya mastaa duniani kote hawajahi kudumu katika ndoa au mahusiano, kama nikuzalilishwa walitaka wao wenyeweHuyu Diamond mikiki yake yakuzalilisha wanawake wake imempotezea mvuto, pia kuacha na na Zarina na uhusiano na mobetto umemfanya watu wamchoke, maana wanawake ndo mashabiki wakuu sasa yeye kutwa kuzalilisha wanawake lazima uchokwe.
[emoji122][emoji122][emoji122]Vyuma vmekaza jomba hao Vodacom had lig kuu wamesusa sembuse DOMO!!
Acha ushabiki w kijinga ww inamaana huoni dili zake wakati sahv jamaaa anapiga dili kubwakubwa alafu za nje ya nchi mfano berliaireKuna sehemu Mondi anakosea,either management yake au yeye mwenyewe,maisha binafisi nakuchanganya na kazi vitamfanya apoteze mvuto!!
Diamond karanga ndo zishatoka sokoni,ingawa sio zake 100%, Chibu perfume,sijui ziko wapi ingawa nazo sio zake 100%!! Wasafi tv and Radio pia tutakuja sikia sio zake 100%!!
Tukirudi kwenye matangazo hasa ya coys kubwa kubwa,voda na dstv ndo hana tena contract nao,kabakiza Coca Cola tu,napo sio sana!!
Tukumbuke EA kuna mtu alikua anapiga show za ndani na Nje kama Jose Chameleon wa Uganda??? Hadi kuitwa Dr Chameleon!! Lakini kwa sasa,kapoa sana!! Ingawa sijui,kama ana miradi mikubwa sana! Maisha yanabadilika sana,zamani kutoka tegeta hadi posta kulikua na billboard outdoors nyingi sana roads,but kwa sasa hakuna kabisa,watu wanahamia kwenye digital advert!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni ajabu sana mwanaume unalalamika eti mwananaume mwenzako hana mvuto. Unataka akuvutie ili iweje?
UMETISHA SANA MKUU, UMEANDIKA FACTS. Ukweli ni kuwa kwa Afrika Mashariki katika upande wa Music huwezi kuwaepuka WcB. Wameteka soko la mziki kiasi kwamba redio pendwa (Mawingu) iko mashakani. WcB ni Taasisi imara mno.Hata kama humpendi mtu lkn si kwa uongo huo, show Madagascar uliyoina au unaleta ushabiki, toka mwezi wa sita mpaka wanane jamaa kapiga show zaidi ya 20, hapo bado ana show Namibia mwezi huu, haya mwisho angalia ktk tamasha la one ambalo limejaa A list wa Africa Diamond yupo miji yote. Hivi ushajiuliza kwa nn, jamaa zenu na tamasha lao pendwa mpaka sasa wanashindwa kutangaza tarehe ya tamasha lao? Kama hujui WCB wameutawala mziki wa bongo fleva 80% kwa kifupi hamna mtu mwenye ubavu wa kuwakwepa WCB ,jamaa wameitawala social networking kwa kiasi kikubwa na kama hujui ni swala la muda tu lkn wadhamini wa wasafi festival tayari washapatika bado kupanga tarehe ya tamasha husika.
Eti tokea mwaka huu hajafanya show? Hivi unatumia simu ya tochi, hivi hujamsikia Victoria kimani akilalamika baada ya Diamond kupewa hela ndefu alipozindua album yake Kenya na nje ya hapo Kenya peke yake mwaka huu kapiga show zaidi ya tano, UK kapiga show zaidi ya nne, moja iliahirishwa na maafisa wa usalama sababu watu walijaa wengi huko Bingham. Haya mwisho angalia A list ya One festival
View attachment 864565View attachment 864566
Hapo bado ana show Canada miji mitatu au labda unamzungumzia Diamond mwengine au labda umetumwa umuharibie kwa mzushia jamaa, kwa kifupi mwaka huu hayupo msanii yoyote aliyepiga show kumzidi Mondi na jamaa kila siku anakuwa, nchi za kusini mwa jangwa la sahara ambazo hajapiga show ni Angola, lkn nchi zote kamaliza tena kafanya kwenye open space.