Diamond kapoteza tuzo moja ya Channel O

Diamond kapoteza tuzo moja ya Channel O

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Katika hali isiyo ya kawaida,gwiji la mziki nchini Tanzania limepoteza tuzo moja katika sherehe ya 40 ya mtoto wake.

Jinsi alivyoshituka.
Mara baada ya kumaliza kupata chakula nakupiga picha na baadhi ya wageni waalikwa ilikuwa ni wakati wa Platinumz kuwaonesha wageni baadhi ya mazingira ya nyumba yake ikiwa ni pamoja nakuwaonesha tuzo zake,wakati yuko kwenye chumba cha tuzo akashituka tuzo yake moja kati ya tatu kutuonekana na ndipo akaamuru ulinzi uimarishwe getini wakati wa wageni kutoka.

Camera zaonesha tukio zima.
Wakati wageni wako nje ilibidi Platinumz afanye kikao cha dharura na kamati yake ya ulinzi ambapo ilibidi walirewind footage za CCTV ambapo baada ya kufanya hivyo picha hizo zilionesha mtu wa mwisho kuingia humo alikua Le Mutuz ambapo alipiga picha na hizo tuzo na baadaye kuonekana kama anapost instagram kabla ya kamera kujizima zenyewe.

Nitawaletea chochote kitakachotokea hapa.
Nitaeendelea kuwajuza kila kitakachotokea hapa white house,kama LeMutuz ataruhusiwa kutoka au kama atalala Selo
 
hahahahaaaaa...... le big show kaiba tuzo? hhaaahahaaa
 
Dah UKAWA vs CCM hata kwenye arobaini 😂😂😂
 
haina ukweli wowote, akili kubwaz hawezi kuiba tuzo, akazifanyie nini? gadem majunguz! Halafu hata kama angetaka kuiba kwa nini aibe moja wakati lile jishati lake linaweza kuhifadhi tuzo zote kabati zima? Mnyonge mnyongeni banaa...:A S shade:

Teh teh..sure..mfuko wa shati unaweza kuingiza tuzo zote zile
 
wabongo majungu tu. Shati linaingia tuzo za diamond na ali kiba kwa ujumla wake. Jamaa shati lake angeweza kujisahau akamtia mfukoni hata mtoto mwenyewe, watu wakaanza kuhangaika kumtafuta. :A S shade:
 
Teh teh..tycoon le mutuz hawezi kuiba tuzo
 
wabongo majungu tu. Shati linaingia tuzo za diamond na ali kiba kwa ujumla wake. Jamaa shati lake angeweza kujisahau akamtia mfukoni hata mtoto mwenyewe, watu wakaanza kuhangaika kumtafuta. :A S shade:

Teh teh..sure..mfuko wa shati unaweza kuingiza tuzo zote zile

Hivi huyu jamaa yale mashati huwa ananunua wapi?jamaa ana mashati makubwa balaa
 
Back
Top Bottom