MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Katika hali isiyo ya kawaida,gwiji la mziki nchini Tanzania limepoteza tuzo moja katika sherehe ya 40 ya mtoto wake.
Jinsi alivyoshituka.
Mara baada ya kumaliza kupata chakula nakupiga picha na baadhi ya wageni waalikwa ilikuwa ni wakati wa Platinumz kuwaonesha wageni baadhi ya mazingira ya nyumba yake ikiwa ni pamoja nakuwaonesha tuzo zake,wakati yuko kwenye chumba cha tuzo akashituka tuzo yake moja kati ya tatu kutuonekana na ndipo akaamuru ulinzi uimarishwe getini wakati wa wageni kutoka.
Camera zaonesha tukio zima.
Wakati wageni wako nje ilibidi Platinumz afanye kikao cha dharura na kamati yake ya ulinzi ambapo ilibidi walirewind footage za CCTV ambapo baada ya kufanya hivyo picha hizo zilionesha mtu wa mwisho kuingia humo alikua Le Mutuz ambapo alipiga picha na hizo tuzo na baadaye kuonekana kama anapost instagram kabla ya kamera kujizima zenyewe.
Nitawaletea chochote kitakachotokea hapa.
Nitaeendelea kuwajuza kila kitakachotokea hapa white house,kama LeMutuz ataruhusiwa kutoka au kama atalala Selo