Diamond Karanga zimeishia wapi?

Leo katika pita pita zangu watoto wakanidai diamond karanga. Kama utani tofauti na nilivyozoea siku za nyuma sijafanikiwa kuona mtu akiuza wala hata dalili.za uwepo wa diamond karanga mjini. What happened kwa mtu anayejua.
Siri za Wahindi wenye biashara.
 
Kuna siku mtauliza wasafi tiivi iko wapi.
 
[emoji1][emoji1][emoji1] nilikwisha sahau
 
Hapa umenikumbusha mtu mmoja anajiiita Shilole kiuno! Sijui yuko wapi. Aliwahi kuikandia hiyo pafyumu. Yani kama kuna mtu alisoma ule uharo wa Shilole Kiuno na akatumia ile pafyumu, atakuwa na moyo mgumu kama jiwe...
Kivip bw mikopo
 
Wangeita tu DIAMOND CHAPATI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…