Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Siri za Wahindi wenye biashara.Leo katika pita pita zangu watoto wakanidai diamond karanga. Kama utani tofauti na nilivyozoea siku za nyuma sijafanikiwa kuona mtu akiuza wala hata dalili.za uwepo wa diamond karanga mjini. What happened kwa mtu anayejua.