Diamond katoboa pua?

Ngoja wanaume wa Kigogo, kimasai na makabila mengine waje. Mgogo anatoga pua anaweka hereni ya mti mbona hamumsemi? Morani anatoga na kuvuta masikio na kusuka mbona hamlalamiki? Mwenzenu anakuza mila za kiafrika haswa.
 
Huku sasa ni kuharibika
 
nimeshangaa kuona ney kampongeza wakat chid alipotoboa neyalimponda
 
Nasapoti mziki wake ila sisapoti upuuzi wake
 
Wanaume wanapenda kuwa kama wanawake
 
Attachments

  • 1460007250497.jpg
    58.4 KB · Views: 37
Sio kila kitu ni kizuri kuiga.....nyimbo zake ziko vizuri ila kwa hili Kakosea
 
Guys sizani kama jamaa katonoa pua ts a kick or kuna thing z coming...insta account ya tuddthomas ameeka pcha n ameandika coming soon....it seems kuna kitu wapo nacho to b released soon
Incase jamaa katoboa atakuwa amezngua sana.
 
Hata kama kuna kitu kinakuja kwa namna hiyo mhhhhhh NO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…