Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku sasa ni kuharibikaKwa niaba ya wanaume wenzangu wa Dar naandika kwa uzuni na mashononeko hii habari yko kaka nasibu nikiwa n moja wa shabiki zko toka enzi zile za kamwambie nimekuwa c mtu wa kuingia wala kuzugumzia personal life yko ila km hili umenikwaza na sijui umewaza nn kutoboa pua embu sema sio kweli umebandika tu iyo herani jamii inakuangalia km fundisho kwa jinsi ulivyo hustle toka maisha magumu hadi ulipo now unaifundisha nn nani aliokupa ushauri utoboe pua zari, rommy jones au babu tale au yule dogo wa empire na mama yko je amekurusu.? hayo mambo waachie wazungu wakina chris brown nasibu sio kila kitu cha kuiga bhn![]()
Kuchele....!!!Ukiona hivyo ujue anaanza kupoteza..
Nilijua utakuwa wa Kwanza kuja kumtetea basha wako, sasa wewe na zari nani mke mkubwa? Au hujatambulishwa rasmi?Wewe ni Pimbi mdogo.
Nimeona ney kamchuknimeshangaa kuona ney kampongeza wakat chid alipotoboa neyalimponda
Nilijua utakuwa wa Kwanza kuja kumtetea basha wako, sasa wewe na zari nani mke mkubwa? Au hujatambulishwa rasmi?
Hata weweWanaume wa dar mpo vizuri kwa udaku
Hata kama kuna kitu kinakuja kwa namna hiyo mhhhhhh NO.Guys sizani kama jamaa katonoa pua ts a kick or kuna thing z coming...insta account ya tuddthomas ameeka pcha n ameandika coming soon....it seems kuna kitu wapo nacho to b released soon
Incase jamaa katoboa atakuwa amezngua sana.