Tumia neno jipya hili la kawaida mno kama nitakavyokwambia wewe shoga niliyekukaza juzi
Mbona unapanic bibie zari?Tatizo nini mama tifah?
Wewe siku zote thread zinazohusu kumponda DIAMOND maneno yako ni hayahaya je yalishaleta mabadiliko yoyote ??????????Sikio liliponza bichwa na bado huo mwanzo tyuu
mkuu kweli unapga ngumi za uso,nani ampigie kura diamond? nitawapigia wanaoshindana nae hata kama ni wasomali.
Kwani alipanda jukwaani kutaka kura yako si shobo na kiherehere chako cha kuingia kwenye page yake ndo ukakuta tangazo la kuomba kura na ambayo hakukulazimisha kumpigia.nani ampigie kura diamond? nitawapigia wanaoshindana nae hata kama ni wasomali.
Wewe inaonyesha si mfutiliaji wa mambo ya muziki haswa yanayomuhusu DIAMOND wenzako walishakusanyana na kwenda kumzomea sasa yuko wapi kashuka au anapanda??? wakati wewe unaapia hivi na sisi tunaompenda TUNASEMA HATOSHUKA NA ATAENDELEA KUPANDA NA KAMA KURA NDO TUTAZIDISHA X 100,000,000,000,000,000.000,000 KUMPIGIA NA TUZO ATAPATA KAMA KAWA.Dogo alishauriwa kuwa atapotea lakini alileta ubishi sasa ataona
Wewe ndo unampelekea chakula au familia yake unailisha wewe?????????Atakoma!
Mimi nasema hashuki tuangalie huyu mungu atajibu ya nani.Huyu dogo its a matter of time ata fall off na kuangukia pua. Trust me !! Ndio madhara ya kufanya vitu bila kuangalia effects in the long run.
Iko namna angeweza campaign for CCM and still walk out clean.
Wewe siku zote thread zinazohusu kumponda DIAMOND maneno yako ni hayahaya je yalishaleta mabadiliko yoyote ??????????
tushawashtukia hawa watu wa kaskazini ,ndio maana sisi kambi ya dangote hatuwapendi kabisaWewe siku zote thread zinazohusu kumponda DIAMOND maneno yako ni hayahaya je yalishaleta mabadiliko yoyote ??????????
Ukweli huweka watu huru it's just a matter of time dude time will tellWewe siku zote thread zinazohusu kumponda DIAMOND maneno yako ni hayahaya je yalishaleta mabadiliko yoyote ??????????
Huyu dogo its a matter of time ata fall off na kuangukia pua. Trust me !! Ndio madhara ya kufanya vitu bila kuangalia effects in the long run.
Iko namna angeweza campaign for CCM and still walk out clean.