Diamond kila anapogusa moto

Diamond kila anapogusa moto

Huyu dogo its a matter of time ata fall off na kuangukia pua. Trust me !! Ndio madhara ya kufanya vitu bila kuangalia effects in the long run.
Iko namna angeweza campaign for CCM and still walk out clean.
 
Dogo alishauriwa kuwa atapotea lakini alileta ubishi sasa ataona
Wewe inaonyesha si mfutiliaji wa mambo ya muziki haswa yanayomuhusu DIAMOND wenzako walishakusanyana na kwenda kumzomea sasa yuko wapi kashuka au anapanda??? wakati wewe unaapia hivi na sisi tunaompenda TUNASEMA HATOSHUKA NA ATAENDELEA KUPANDA NA KAMA KURA NDO TUTAZIDISHA X 100,000,000,000,000,000.000,000 KUMPIGIA NA TUZO ATAPATA KAMA KAWA.
 
kuna kazi ambazo ili uzifanye kwa uhuru, hutakiwi kutangaza msimamo wako kisiasa unless uamua kuwa mwanasiasa. viongozi wa dini, wasanii na watoa huduma wengine.

msimamo wako kisiasa ukijulijana lzm utaathir kazi yako maana baadhi ya wateja wako wasioukubali msimamo wako, watakutenga
 
Huyu dogo its a matter of time ata fall off na kuangukia pua. Trust me !! Ndio madhara ya kufanya vitu bila kuangalia effects in the long run.
Iko namna angeweza campaign for CCM and still walk out clean.
Mimi nasema hashuki tuangalie huyu mungu atajibu ya nani.
 
Wewe siku zote thread zinazohusu kumponda DIAMOND maneno yako ni hayahaya je yalishaleta mabadiliko yoyote ??????????
tushawashtukia hawa watu wa kaskazini ,ndio maana sisi kambi ya dangote hatuwapendi kabisa
 
Wewe siku zote thread zinazohusu kumponda DIAMOND maneno yako ni hayahaya je yalishaleta mabadiliko yoyote ??????????
Ukweli huweka watu huru it's just a matter of time dude time will tell
 
Huyu dogo its a matter of time ata fall off na kuangukia pua. Trust me !! Ndio madhara ya kufanya vitu bila kuangalia effects in the long run.
Iko namna angeweza campaign for CCM and still walk out clean.

Yaan apa umenena coz mbona kina wema,nay,wolper etc wapo uko na nobody care! Ishu ni kwamba dogo kasema hategemei show za ndani na tusimbabaishe! Tunasema sawa ila Kulikua kuna mtu anaitwa Mr nice alishika pesa na kufahamika zaidi yake kipindi technology ilikua chini kabsa!
 
Kura tulipiga familia nzima kila siku kura 20 wakati ule;
heee dogo kaamua kuingia green na sie tukamalizana naye

Ngoja vijana wa Lumumba watampigia tu.
 
Back
Top Bottom