Mara ya kwanza DIAMOND kuingia ktk tuzo za kimataifa ilikuwa 2010 nyimbo ilikuwa mbagala akakosa tuzo kwahiyo hatoshangaa kukosa.Wakati huu ndio atahisi mara baada ya kura zake kupotew.Subiri uone..
Diamond analea mtoto ambaye si wake
Hakuna kumpigia kura apigiwe na familia yake na uvccm ajifunzee
Alitakiwa awe kimya..asipost mambo mambo ya siasa ..
Kura tulipiga familia nzima kila siku kura 20 wakati ule;
heee dogo kaamua kuingia green na sie tukamalizana naye
Ngoja vijana wa Lumumba watampigia tu.
Zamani nilijua huyu dogo watu wanumuonea, sasa ndo nimegundua huyu ni "zamwamwa"
Mwache CCM itakapopigwa chini na yeye kunyang'anywa mtoto ndio atajifunza kuwa ukuwadi kwa wanasiasa ni ugonjwa wa ukoma
daaa kweli diamond anawakati mgumu sana
nimepita kule tweeter nimeona anaomba apigiwe kura amebaki akiambulia matusi ooh nenda lumumba oooh pale jangwani mbona ujamwambia wakina weka mbali na tembo mara oooh mwambie mkwere
nikapita tena kule facebook mambo yako nimabaya sana kwake
mara dogo anaye kutumia asha kuaribu
mara hooo kaumbe vijana wa uvcccm
kule istagram do weacha sijuhi tumsaidiaje huyu dogo
Acha uongo wako wewe! Kwenye ike kampeni Marlaw alikuwa peke yake? Diamond alikuwepo! Chege alikuwepo! Temba alikuwepo! Na wote hao hadi leo wapo! Mtu kaamua kutulia na wife wake nyie oh, kisa kaipigia kampeni CCM!!aulize marlow yuko wapi...siasa imempoteza kushadadia green team,
Ndugu yake alikosa mkopo kutoka bodi ya mikopo!!siamini Kama Ni wewe umeandika hii kitu,ugamba umeacha lini mshiki
Kama ni swala la wakati basi hata wewe hiko unachokifanya leo hautakifanya na muda unamuhusu kila mtu.
Lakini miss Tz fulani alisema jamani tatizo kaIQ,unajua hata ukiwa na kipaji gani ukiwa na hako katatizo ka IQ utatumika sana,unless uajiri meneja alie vizuri kwenye hiyo sekta!