Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Lofa kweli!! Anaenda kubambikiwa mtoto na ngoro kikongwe ambae ameshazaa watoto watatu!! Shtuka babu jinga mali zako zinaliwa
Lofa kweli!! Anaenda kubambikiwa mtoto na ngoro kikongwe ambae ameshazaa watoto watatu!! Shtuka babu jinga mali zako zinaliwa
Lakini miss Tz fulani alisema jamani tatizo kaIQ,unajua hata ukiwa na kipaji gani ukiwa na hako katatizo ka IQ utatumika sana,unless uajiri meneja alie vizuri kwenye hiyo sekta!
Aibu sana hii! Kisa tu hajapigia kampeni chama upendacho wewe!!Lofa kweli!! Anaenda kubambikiwa mtoto na ngoro kikongwe ambae ameshazaa watoto watatu!! Shtuka babu jinga mali zako zinaliwa
Yaani watu wanamchukia mpiga kampeni kuliko CCM yenyewe! Yaani kauli ya Mkapa ndo naiona maana yake!!haters hawa hata diamond asingepigia ccm kampeni hawa hawakuwahi kumsapoti katika kipindi chochote. piga kazi diamond mashabiki wako pale pale
Leo hii nikiulizwa nichague nini kati ya liji-IQ kuuuuuuuuubwa pamoja na ma-degree kedekede ambayo yataishia kunipa mshahara wa laki 7 (wengine humu hata huu wa laki 7 pamoja na nyodo zao zote hawapati na wala hawana sifa za kuupata) hadi 2 million lisilonisaidia na kaji-IQ kadogooooo kanakonipa hiki na kile, honestly nitachagua hako hako kaji-IQ kaduchu hata kama ni 2!Lakini miss Tz fulani alisema jamani tatizo kaIQ,unajua hata ukiwa na kipaji gani ukiwa na hako katatizo ka IQ utatumika sana,unless uajiri meneja alie vizuri kwenye hiyo sekta!
Halafu hao wenyewe wanaotaka tuwaone wasomi na wana IQ kubwa ingawaje hazijawahi kuwa tested popote, mambo wanayoongea wala hayasadifu na majigambo yao!Huyu unaemsema mbona yeye kama anazo hana maendeleo zaidi ya kunanii tu ndio kuishi.
Mlisema anaiba nyota kaondoka kawaachieni mtu wenu anahangaika hadi kesho na yeye Chibu anapaaaa, utajaribu hata kutaka kumchafua eti huruma sijui nini najua wivu tu, tumewazoea.
tunajua hamna mwingine wa kumuongelea zaidi yake hadi mnashindana kufungua uzi humu...eeeehhh na bado
eti IQ hata waliosoma wapo alosto hadi mifuko inatoboka kwa vidole kuvisugua itakuwa mtoto wa Tandale mnazani anfefika alipo kama sio akili zake kwa wingi?
mtanyooka tu
Halafu ningekuwa ndo mimi ningejiona mpumbavu nisiye na kazi manake tangu waanze kupiga ramli ndo kwanza jamaa anasonga mbele!Nimependa hiiii, Yaani hapo umemaliza si unajua tena hawa viroho korosho tunawajua humu kwa kumuonea wivu, kutwa kujaribu kumshusha ni wale wale wa kila siku na chuki zao za wivu wanajazana humu kumkashifu utadhani anaongelea wananchi wote.
Tena hizi sio chuki ni ujinga! Yaani mtu na akili zako timamu unakomaa kwamba mtoto sio wake utadhani yeye ndo Zari mwenyewe!Umeandika utazani hawajawahi ku do.
Khaaaa chuki za nini na mtoto ni wake inawauma kazaa. Lol
Na wengine wanaoumia ni wanaume sasa utadhani walitaka huyo Diamond azae na wao!ona mimutu mizima sijui nusu mnaumia mtu kuzaa si mkazae wenu au mmefungwa?
Yaani watu wanamchukia mpiga kampeni kuliko CCM yenyewe! Yaani kauli ya Mkapa ndo naiona maana yake!!
Natoka povu? Kisa? Natoka povu kwavile namjibu "kila mtu" kama unavyodai, au? Hivi wanaolialia na kumwaga laana kwamba mwisho wake umeisha na mimi ninayesema ramli zenu hazitazaa matunda ni nani kati yetu anamwaga povu??!! By the way, ina maana ameisha kwavile tu hajaipigia kampeni UKAWA, au?! Hivi hiki kibri cha nyinyi kujifanya Miungu Watu kwamba so long as mtu haungi mkono mnachounga nyinyi ndo basi mwisho wake umeisha... mnakitoa wapi hicho kibri?!Yaani nguvu mnazotumia kupambana na Diamond asiye na madhara yoyote ingekuwa ndo mnazitumia kupambana na CCM, may be ndo zenu za kuindoa CCM zingetimia but mnapambana na kivuli!!!Chige hahaha povu linakutoka unajibu kila post. Ha ha ha
Ukweli ni kuwa dogo ameisha. Hayuko makini.
Tena unakuta mwanaume eti analalamikia hadi masuala ya kinyumba! Kwa mwanamke, nitamwelewa kwamba huenda alitamani hiyo nafasi angepewa yeye lakini mwanaume anapolalamikia masuala ya kinyumba ya mwanaume mwenzake huwa napata taabu sana!Kama ww ni Ke unamlalamikia Diamond sikulaumu kwa vile ni hulka zenu ila kama ww ni Me hizo sio hulka zetu wanaume....
Mbaya zaidi, ni hao hao majuzi tu walikuwa wanaimba Lowasa fisadi, Mbowe amebadilisha kauli na wao wamebadilisha halafu wakiambiwa wapumbavu na malofa wanalalamika! Wakiambiwa wapo kama nyumbu wanapelekeshwa tu wanalalamika!mtu mwenyewe wanayejitapa wanalikomboa taifa naye ni mwana ccm aliyeko mchepukoni mchana jioni kwa familia yake!! ngoja aende ikulu ndo mtajua chama chake haswa, zaman nilikuwa nawakubali ila kwa hili to hell,
hebu wana ukawa naombeni picha ya lowassa akiwa amevalia gwanda la chadema please cjawahi ona