Diamond kila anapogusa moto

Diamond kila anapogusa moto

Lofa kweli!! Anaenda kubambikiwa mtoto na ngoro kikongwe ambae ameshazaa watoto watatu!! Shtuka babu jinga mali zako zinaliwa

Yule mwanamke ana akili nyingi sanaa. Muangalie tu vile vile. Nyie wanawake hamuwajui vzuri ndio maana.
 
Wivu umewajaa

Kwani leo ndio mara ya kwanza kuomba kupigiwa kura, umaskini na uvivu ndio wanatolea hasira kwake kujituma hawajitumi kufanya kazi wamelaza akili wengi wao.

Kushabikia vyama wao wamashabikia, wanalo kura tunazipiga kumsapori mtanzania mwenzetu.

Katafuteni kazi muache wivu.
 
Lofa kweli!! Anaenda kubambikiwa mtoto na ngoro kikongwe ambae ameshazaa watoto watatu!! Shtuka babu jinga mali zako zinaliwa

Umeandika utazani hawajawahi ku do.

Khaaaa chuki za nini na mtoto ni wake inawauma kazaa. Lol
 
Wote humu mnaomsema Diamond sababu ya chama mnatia aibu na yenu wivu umewajaaaaaa

watanzania hamna hata uwezo nyie wa kujifanyia yenu mkapaaa mnapoteza muda kumsema kijana wetu Chibu ambaye mnajua kabisa kafika alipo kwa kujituma kikazi

sasa nyie naposhabikia vyama vyenu nani anawasema

ona mimutu mizima sijui nusu mnaumia mtu kuzaa si mkazae wenu au mmefungwa?

picha za state house toka Tandale inawauma utazani pesa mmekataliwa kuzitafuta zenu nanyi mkaita kwenu state house.

kama hammpigii kura tunajua huwa hampigi tangu zamani ni basi tu mmepata pa kuondolea wivu na roho zenu za korosho, hampunguzi kitu katika maisha yake.

anatukanwa kila siku ndio leo mnajua kuandika humu kujaribu kumshusha ila hampati kitu yeye ni juu ya wasanii wote nchini na ataidi kuwa hadi akistaafu kwa muda wake na kufanya mengi ya kuzidi kuingiza pesa kama mnavyoona.

kumbukeni ana washabiki nje ya nchi sio nyie mnatamani maisha yake kila kukicha huku mnam folo insta, kila kona kutaka kujua anaishije ameamkaje kavaaa nini, amembeba mwanae

na mjue tareje alizokutana na mkewe Zari zinaendana na tarehe aliyozaliwa mtoto wao, kazaeni wa kwenu

mijitu miwivu mikubwaaaaaa

na mumkome kwa chuki zenu mlizojaza tangu zamani

kumbukeni bila yeye hamna gumzo so munamkubali kwa ndani ya roho zenu hadi kumwandika na ku comment kwenye page zake kote kote
 
Lakini miss Tz fulani alisema jamani tatizo kaIQ,unajua hata ukiwa na kipaji gani ukiwa na hako katatizo ka IQ utatumika sana,unless uajiri meneja alie vizuri kwenye hiyo sekta!

Huyu unaemsema mbona yeye kama anazo hana maendeleo zaidi ya kunanii tu ndio kuishi.

Mlisema anaiba nyota kaondoka kawaachieni mtu wenu anahangaika hadi kesho na yeye Chibu anapaaaa, utajaribu hata kutaka kumchafua eti huruma sijui nini najua wivu tu, tumewazoea.

tunajua hamna mwingine wa kumuongelea zaidi yake hadi mnashindana kufungua uzi humu...eeeehhh na bado

eti IQ hata waliosoma wapo alosto hadi mifuko inatoboka kwa vidole kuvisugua itakuwa mtoto wa Tandale mnazani anfefika alipo kama sio akili zake kwa wingi?

mtanyooka tu
 
haters hawa hata diamond asingepigia ccm kampeni hawa hawakuwahi kumsapoti katika kipindi chochote. piga kazi diamond mashabiki wako pale pale
 
haters hawa hata diamond asingepigia ccm kampeni hawa hawakuwahi kumsapoti katika kipindi chochote. piga kazi diamond mashabiki wako pale pale
Yaani watu wanamchukia mpiga kampeni kuliko CCM yenyewe! Yaani kauli ya Mkapa ndo naiona maana yake!!
 
Lakini miss Tz fulani alisema jamani tatizo kaIQ,unajua hata ukiwa na kipaji gani ukiwa na hako katatizo ka IQ utatumika sana,unless uajiri meneja alie vizuri kwenye hiyo sekta!
Leo hii nikiulizwa nichague nini kati ya liji-IQ kuuuuuuuuubwa pamoja na ma-degree kedekede ambayo yataishia kunipa mshahara wa laki 7 (wengine humu hata huu wa laki 7 pamoja na nyodo zao zote hawapati na wala hawana sifa za kuupata) hadi 2 million lisilonisaidia na kaji-IQ kadogooooo kanakonipa hiki na kile, honestly nitachagua hako hako kaji-IQ kaduchu hata kama ni 2!

Kila siku mtaishia kujivunia IQ ambazo hazijakuwa tested popote na wala hamjui mnazo ngapi pamoja na ma-degree ingawaje wengine hata hiyo diploma yenyewe hawana but at the end of the day pamoja na manyodo yenu yote wengine wataishia kupanda daladala na kuishi kwenye chumba wanacho-share na mindoo ya maji hadi wanaingia kaburini!!
 
Huyu unaemsema mbona yeye kama anazo hana maendeleo zaidi ya kunanii tu ndio kuishi.

Mlisema anaiba nyota kaondoka kawaachieni mtu wenu anahangaika hadi kesho na yeye Chibu anapaaaa, utajaribu hata kutaka kumchafua eti huruma sijui nini najua wivu tu, tumewazoea.

tunajua hamna mwingine wa kumuongelea zaidi yake hadi mnashindana kufungua uzi humu...eeeehhh na bado

eti IQ hata waliosoma wapo alosto hadi mifuko inatoboka kwa vidole kuvisugua itakuwa mtoto wa Tandale mnazani anfefika alipo kama sio akili zake kwa wingi?

mtanyooka tu
Halafu hao wenyewe wanaotaka tuwaone wasomi na wana IQ kubwa ingawaje hazijawahi kuwa tested popote, mambo wanayoongea wala hayasadifu na majigambo yao!
 
Nimependa hiiii, Yaani hapo umemaliza si unajua tena hawa viroho korosho tunawajua humu kwa kumuonea wivu, kutwa kujaribu kumshusha ni wale wale wa kila siku na chuki zao za wivu wanajazana humu kumkashifu utadhani anaongelea wananchi wote.
Halafu ningekuwa ndo mimi ningejiona mpumbavu nisiye na kazi manake tangu waanze kupiga ramli ndo kwanza jamaa anasonga mbele!
 
Umeandika utazani hawajawahi ku do.

Khaaaa chuki za nini na mtoto ni wake inawauma kazaa. Lol
Tena hizi sio chuki ni ujinga! Yaani mtu na akili zako timamu unakomaa kwamba mtoto sio wake utadhani yeye ndo Zari mwenyewe!
 
Chige hahaha povu linakutoka unajibu kila post. Ha ha ha

Ukweli ni kuwa dogo ameisha. Hayuko makini.
 
Yaani watu wanamchukia mpiga kampeni kuliko CCM yenyewe! Yaani kauli ya Mkapa ndo naiona maana yake!!

mtu mwenyewe wanayejitapa wanalikomboa taifa naye ni mwana ccm aliyeko mchepukoni mchana jioni kwa familia yake!! ngoja aende ikulu ndo mtajua chama chake haswa, zaman nilikuwa nawakubali ila kwa hili to hell,

hebu wana ukawa naombeni picha ya lowassa akiwa amevalia gwanda la chadema please cjawahi ona
 
Kama ww ni Ke unamlalamikia Diamond sikulaumu kwa vile ni hulka zenu ila kama ww ni Me hizo sio hulka zetu wanaume....
 
Chige hahaha povu linakutoka unajibu kila post. Ha ha ha

Ukweli ni kuwa dogo ameisha. Hayuko makini.
Natoka povu? Kisa? Natoka povu kwavile namjibu "kila mtu" kama unavyodai, au? Hivi wanaolialia na kumwaga laana kwamba mwisho wake umeisha na mimi ninayesema ramli zenu hazitazaa matunda ni nani kati yetu anamwaga povu??!! By the way, ina maana ameisha kwavile tu hajaipigia kampeni UKAWA, au?! Hivi hiki kibri cha nyinyi kujifanya Miungu Watu kwamba so long as mtu haungi mkono mnachounga nyinyi ndo basi mwisho wake umeisha... mnakitoa wapi hicho kibri?!Yaani nguvu mnazotumia kupambana na Diamond asiye na madhara yoyote ingekuwa ndo mnazitumia kupambana na CCM, may be ndo zenu za kuindoa CCM zingetimia but mnapambana na kivuli!!!

NB: Hizo ramli za kwamba mwisho wake umeshafika hazijaanza jana wala juzi!!!
 
Kama ww ni Ke unamlalamikia Diamond sikulaumu kwa vile ni hulka zenu ila kama ww ni Me hizo sio hulka zetu wanaume....
Tena unakuta mwanaume eti analalamikia hadi masuala ya kinyumba! Kwa mwanamke, nitamwelewa kwamba huenda alitamani hiyo nafasi angepewa yeye lakini mwanaume anapolalamikia masuala ya kinyumba ya mwanaume mwenzake huwa napata taabu sana!
 
mtu mwenyewe wanayejitapa wanalikomboa taifa naye ni mwana ccm aliyeko mchepukoni mchana jioni kwa familia yake!! ngoja aende ikulu ndo mtajua chama chake haswa, zaman nilikuwa nawakubali ila kwa hili to hell,

hebu wana ukawa naombeni picha ya lowassa akiwa amevalia gwanda la chadema please cjawahi ona
Mbaya zaidi, ni hao hao majuzi tu walikuwa wanaimba Lowasa fisadi, Mbowe amebadilisha kauli na wao wamebadilisha halafu wakiambiwa wapumbavu na malofa wanalalamika! Wakiambiwa wapo kama nyumbu wanapelekeshwa tu wanalalamika!
 
Back
Top Bottom