Diamond kila anapogusa moto

Mbaya zaidi, ni hao hao majuzi tu walikuwa wanaimba Lowasa fisadi, Mbowe amebadilisha kauli na wao wamebadilisha halafu wakiambiwa wapumbavu na malofa wanalalamika! Wakiambiwa wapo kama nyumbu wanapelekeshwa tu wanalalamika!


hapa mjini ni hela tuu na hivi wako na wachagaaa watanyooka tu
 

Na Leo Dr Slaa anahamia ACT, hahahaaa watavunja mabungo mwaka huu, nazi zimepanda beiii....

#team dai miaka mia....
 

wewe ni ke au me?
 
Na Leo Dr Slaa anahamia ACT, hahahaaa watavunja mabungo mwaka huu, nazi zimepanda beiii....

#team dai miaka mia....
Shauri zao wanaochanganya burudani na siasa na hapo hapo kujifanya miungu watu! Badala ya kupambana na ugonjwa wanapambana na dalili....!! Halafu umepotea ile mbaya!
 
Wacha auone moto, na tuzo atashiriki sana ila kuzipata itabaki historia
 
Diamond ni raia kama wewe anahaki na maamuzi sahihi kwa mustaqbali wa maisha yake amechagua njia aipendayo ya kweli na haki kwa kua ccm imepembua mchele wake nanyi mkachukua pumba zifanye kazi kwenu

Yametosha..alipoongelea ukabila alikosea sana..aombe radhi..
 
Shauri zao wanaochanganya burudani na siasa na hapo hapo kujifanya miungu watu! Badala ya kupambana na ugonjwa wanapambana na dalili....!! Halafu umepotea ile mbaya!

Nipooo...tatizo net.
 
Mashabiki wa diamond=mashabiki wa Wema=0.
UKAWA mbele kwa mbele.
 
Kuna mambo muhimu ya kitaifa yanayotupasa kuyapa kipaumbele kwa sasa na si huyo Diamond na personal interests zake...Akaombe kura nchi za jirani watanzania tunasubiria kupiga kura za uraisi, ubunge na madiwani October 25
 
ally kiba nae aja mtwara kwajili ya kampeni ya ccm.big up king kiba kwa shoew kali @@*^_^*😡:-O-_-#:-X$_$=_=magufuli ni rais wa watanganyika na zanzibari€:-D?_?-_-#*^_^*@@😡:-O=_=?_?$_$*^_^*-_-!:-|:-πŸ™‚-*:-X@@😡T^T$_$?_?*^_^*@@:-D:-X*^_^*@@😡:-O:-QπŸ˜›;-)
 
Na wengine wanaoumia ni wanaume sasa utadhani walitaka huyo Diamond azae na wao!

hahahahaaaaa wana wivu tu wanatamani maisha yake wakati wao hawajipigi

kweli wanachekesha
 
Halafu hao wenyewe wanaotaka tuwaone wasomi na wana IQ kubwa ingawaje hazijawahi kuwa tested popote, mambo wanayoongea wala hayasadifu na majigambo yao!

ukisoma post za hawa wanaomponda za nyuma utangachoka hadi utabaki unawasikitikia why kumsakama mtu anayejitahidi na life badala wa geze wao ndio wanatengeneza skills za kihivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…