Natoka povu? Kisa? Natoka povu kwavile namjibu "kila mtu" kama unavyodai, au? Hivi wanaolialia na kumwaga laana kwamba mwisho wake umeisha na mimi ninayesema ramli zenu hazitazaa matunda ni nani kati yetu anamwaga povu??!! By the way, ina maana ameisha kwavile tu hajaipigia kampeni UKAWA, au?! Hivi hiki kibri cha nyinyi kujifanya Miungu Watu kwamba so long as mtu haungi mkono mnachounga nyinyi ndo basi mwisho wake umeisha... mnakitoa wapi hicho kibri?!Yaani nguvu mnazotumia kupambana na Diamond asiye na madhara yoyote ingekuwa ndo mnazitumia kupambana na CCM, may be ndo zenu za kuindoa CCM zingetimia but mnapambana na kivuli!!!
NB: Hizo ramli za kwamba mwisho wake umeshafika hazijaanza jana wala juzi!!!