Diamond kuachia video nyingine wiki hii

Duh mizogaaa??? Likija swala la uumbaji tuwe ethical kidogo
 
sijui itakua kali..!!!?
 

Attachments

  • 1455101839492.jpg
    42.1 KB · Views: 19
lupela ndo video mbovu ya karne hovyoooo kabisa diamond na kiba ni sawa na kumlinganisha messi na winga wa majimaji ya songea komba ndunguru haule
HA HA HA HA hilo jina et komba nduguru haule..
 
Tangazo tu la Vodacom limeharibu mipango yote ya uzinduzi wa Lupela, sasa akitoa na wimbo si ndio balaa kabisa. Tatizo kupigana kwa mawe huku unakaa kwenye nyumba ya vioo ndio hili. Vioo vyote vitapasuliwa.
Nyooo Siku ya uzinduzi Wa lupela lingepigwa bomb slip way mngekosa bongo fleva maana wakali kibao walikuwa pale kiba ni legend ww Fundi na usiombe kukutana nae puuuumbav
 
Mwiba mwingne unakuja
Anamfikiria sana King anamuogopa anadhan ataweza kumzima anaachia ngoma kama underground anayetafuta jina hahahahaaaa kibaaaaaaaaaa utamuua huyu kunguru wa tandale
 
Mbongo halisi kamtaja k 4 real sasa km mama ni mzoga means mtoto ni haramu!!! Haya maneno haya
Kuna mtu kazaa na mtu aliyekuwa na watoto watatu na mwengine yupo na mtu ambaye hana japo mtoto mmoja asa nan yupo na mzoga angalieni mnajitovuga wenyewe maneno yenu hahahahaaaa....
 
dogo chibu we achia tu kitu we wa kimataifa tunakuelewa hukoseagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…