mke wa mkuu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 634
- 277
Sijawah hata kumsikia katoa msaada kwa watoto yatima, kazi kuwabebesha mimba wadada tu ndio anajitolea hhhhhaaaa
Asisahau kumalizia na swimming pool yake
Imeisha mbona bi sandra na anko salu wameshahamia juzi kati...
madawati yanajengwA?
Usikute kanautaka ubunge, Ahadi zote hizi?
Umesahau na kujenga maabara
Maabara hii umeambiwa ni Sekondari.
madawati yanajengwA?
Usikute kanautaka ubunge, Ahadi zote hizi?
Maabara hii umeambiwa ni Sekondari.
umefata nini huku we gamba usituwangie