Diamond kuchimba visima na kujenga madawati shule za Tandale

Diamond kuchimba visima na kujenga madawati shule za Tandale

kama katoa ahadi hiyo ni jambo zuri na mfano wa kuigwa
 
Mungu ambariki maana pesa zetu za ESCROW zingeweza kufanya hayo nchi nzima..
 
Hapa nampa 100%..

Well done Diamond..
Pia ungewajengea na vyoo,maana vyoo vya kayumba ni hatari..

Pia fanya fasta utoe wmbo mwngne,huu wa sasa n wa kawaida mno na haujashtua,wanaosema mzuri wanakupotosha..

interesting
 
Back
Top Bottom