Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Usikute kanautaka ubunge, Ahadi zote hizi?
Diamonds are Forever...
Kila la Kheri
Wako wangapi kwani?
Jua kutofautisha kati ya x na kuzidisha
Msalaba na jumlishaa
Haaaaa sauti ya raisi iliyomshinda ibilisi
madawati yanajengwA?
Hapa nampa 100%..
Well done Diamond..
Pia ungewajengea na vyoo,maana vyoo vya kayumba ni hatari..
Pia fanya fasta utoe wmbo mwngne,huu wa sasa n wa kawaida mno na haujashtua,wanaosema mzuri wanakupotosha..