Diamond kufunguliwa kesi ya fidia ya mabilioni na Wakenya kwa kushindwa ku-perform

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Wakenya wajanja sana.

Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba.

Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
 
Je kwa kutokuperfom kwake amesababisha hasara kivipi ikiwa watu walisha lipa hela zao?
Je watu walirudishiwa hela zao coz Diamond hakuperform?
Hapa wataalamu naomba mnieleweshe,

Kuna clip Diamond ametoa na kuelezea hiyo issue ilivyokua,
ukiisikiliza kwa umakini,utaelewa kua hakuna kesi hapo.
 
Wakenya wajanja sana.
Wametafutanjia ya kuyachota naela ya msanii Diamond,njia pekee waliyoona ni kumialika kwenye show na kutengenexa mazingira ya yeye kuvunja mkataba
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia
Wewe huna taarifa kabisa,diamond hajavunja mkataba wowote,waliovunja mkataba ni organizers wa hiyo show,halipi chochote kile na wala hajaingia kwenye mfumo wowote
 
Je kwa kutokuperfom kwake amesababisha hasara kivipi ikiwa watu walisha lipa hela zao?
Je watu walirudishiwa hela zao coz Diamond hakuperform?
Hapa wataalamu naomba mnieleweshe,

Kuna clip Diamond ametoa na kuelezea hiyo issue ilivyokua,
ukiisikiliza kwa umakini,utaelewa kua hakuna kesi hapo.
bro diamond hana kosa na kwa taarifa yako diamond ana manager wake ambae ni mzoefu wa kila kitu na husafiri na timu yenye wataalamu wa kila fani
 
Wakenya wajanja sana.
Wametafutanjia ya kuyachota naela ya msanii Diamond,njia pekee waliyoona ni kumialika kwenye show na kutengenexa mazingira ya yeye kuvunja mkataba
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia
Kiukweli wakienda mahakamani Diamond itabidi athibitishe kutumia vifungu vya mkataba aliosaini uhalali wa yeye kutofanya show.
 
Je kwa kutokuperfom kwake amesababisha hasara kivipi ikiwa watu walisha lipa hela zao?
Je watu walirudishiwa hela zao coz Diamond hakuperform?
Hapa wataalamu naomba mnieleweshe,

Kuna clip Diamond ametoa na kuelezea hiyo issue ilivyokua,
ukiisikiliza kwa umakini,utaelewa kua hakuna kesi hapo.
Kama mteja alilipa kwa ajili ya kuja kumuona msanii flani kwa mfano Diamondi, kisha huyo msanii hatukokea, wateja wana haki ya kudai pesa yao warudishiwe na pia wana haki ya kukupeleka mahakamani wewe organizer kwa uongo, utapeli na wakadai fidia ya maana na utaamriwa uwalipe.
 
Kiukweli wakienda mahakamani Diamond itabidi athibitishe kutumia vifungu vya mkataba aliosaini uhalali wa yeye kutofanya show.
wala mahakamani haifiki kwasababu organizers wenyewe wamekiri kuwa kosa ni lao na wala sio diamond,muda wa kuperform diamond ulifika na alikuwa tayari kupanda lakini zikatokea fujo hadi saa 11 alfajir,diamond hawezi kupanda jukwaani muda huo,hivyo hajavunja mkataba wowote
 
Weka ugoko niweke chuma wamekutana na mtoto wa tadale mwenye makiki na mapikipiki ndo Nyumbani, apo na jinyimbo anaachia juu kwa juu😆🤣🤣kupeleka trend mbele aiseee
 
Je kwa kutokuperfom kwake amesababisha hasara kivipi ikiwa watu walisha lipa hela zao?
Je watu walirudishiwa hela zao coz Diamond hakuperform?
Hapa wataalamu naomba mnieleweshe,

Kuna clip Diamond ametoa na kuelezea hiyo issue ilivyokua,
ukiisikiliza kwa umakini,utaelewa kua hakuna kesi hapo.
Ni kwamba,kamouni ilyomwalija imepoteza credibility,goodwill and trust kwa wadau,imeonekana ni ya kitapeli,
 
Show aliyo saini ili takiwa iwe tarehe saba,ila walitaka kumpandisha tarehe nane na yy hakusaini kufanya show tarehe nane.
Haoo kuna point ila ngoja tuone,jApO tangu tarehe nanewanamwamviaapande jukwaani yeye anadai kuna vurugu hawezi kupanda,mpaka ikafika tarehe tisa,hajuna uvunjifu wa amani ulioripotiwa,yeye ni nani vibe anaita vurugu?
 
Back
Top Bottom