mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #21
Wamevunja vipi mkataba hebu dadavua ,jamaa jagoma kupanda stejini akidai kunavurugu huku chini na mpaka show inaisha hakuna msanii au hata sisimizi aliyejeruhiwa yeye ni nani ajeruhiweIla watanzania tuna katabia ka kujipendekeza kwa watu nchi zingine.
Sasa hapo kuna kesi gani ikiwa wao ndiyo walivunja mkataba?
Support your fellow country man