Diamond kufunguliwa kesi ya fidia ya mabilioni na Wakenya kwa kushindwa ku-perform

Diamond kufunguliwa kesi ya fidia ya mabilioni na Wakenya kwa kushindwa ku-perform

Lete huo mkataba wenye hivyo vipengele tuusome, achana na maneno ya kuokoteza,

Siyo unatunga tunga vimeneno kuhalalisha utapeli
Kwahiyo wasanii International unadhani wanakuja tu wanaimba imba na kusepa?
Bila mkataba?

Nyamaza usijiaibishe humu sawa?
 
Kwahiyo wasanii International unadhani wanakuja tu wanaimba imba na kusepa?
Bila mkataba?

Nyamaza usijiaibishe humu sawa?
Acha porojo

Lete huo mkataba na sisi tusome hivyo vipengere ulivyovisema ili tujadili kwa ufasaha, siyo kuleta maneno ya kuokota hapa unasema ni vipengere vya mkataba
 
bro diamond hana kosa na kwa taarifa yako diamond ana manager wake ambae ni mzoefu wa kila kitu na husafiri na timu yenye wataalamu wa kila fani
Tunaweza mshambulia Diamond tokana na chuki zetu za kizigua tulizonazo sisi ila jamaa ana watu makini sana.

Hamna kesi hapo.
 
Back
Top Bottom