Wewe huna taarifa kabisa,diamond hajavunja mkataba wowote,waliovunja mkataba ni organizers wa hiyo show,halipi chochote kile na wala hajaingia kwenye mfumo wowoteWakenya wajanja sana.
Wametafutanjia ya kuyachota naela ya msanii Diamond,njia pekee waliyoona ni kumialika kwenye show na kutengenexa mazingira ya yeye kuvunja mkataba
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia
bro diamond hana kosa na kwa taarifa yako diamond ana manager wake ambae ni mzoefu wa kila kitu na husafiri na timu yenye wataalamu wa kila faniJe kwa kutokuperfom kwake amesababisha hasara kivipi ikiwa watu walisha lipa hela zao?
Je watu walirudishiwa hela zao coz Diamond hakuperform?
Hapa wataalamu naomba mnieleweshe,
Kuna clip Diamond ametoa na kuelezea hiyo issue ilivyokua,
ukiisikiliza kwa umakini,utaelewa kua hakuna kesi hapo.
Kiukweli wakienda mahakamani Diamond itabidi athibitishe kutumia vifungu vya mkataba aliosaini uhalali wa yeye kutofanya show.Wakenya wajanja sana.
Wametafutanjia ya kuyachota naela ya msanii Diamond,njia pekee waliyoona ni kumialika kwenye show na kutengenexa mazingira ya yeye kuvunja mkataba
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia
Duuh wafungue ili akadai fidia ya kumchafua kabisaWakenya wajanja sana.
Wametafutanjia ya kuyachota naela ya msanii Diamond,njia pekee waliyoona ni kumialika kwenye show na kutengenexa mazingira ya yeye kuvunja mkataba
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia
Kama mteja alilipa kwa ajili ya kuja kumuona msanii flani kwa mfano Diamondi, kisha huyo msanii hatukokea, wateja wana haki ya kudai pesa yao warudishiwe na pia wana haki ya kukupeleka mahakamani wewe organizer kwa uongo, utapeli na wakadai fidia ya maana na utaamriwa uwalipe.Je kwa kutokuperfom kwake amesababisha hasara kivipi ikiwa watu walisha lipa hela zao?
Je watu walirudishiwa hela zao coz Diamond hakuperform?
Hapa wataalamu naomba mnieleweshe,
Kuna clip Diamond ametoa na kuelezea hiyo issue ilivyokua,
ukiisikiliza kwa umakini,utaelewa kua hakuna kesi hapo.
wala mahakamani haifiki kwasababu organizers wenyewe wamekiri kuwa kosa ni lao na wala sio diamond,muda wa kuperform diamond ulifika na alikuwa tayari kupanda lakini zikatokea fujo hadi saa 11 alfajir,diamond hawezi kupanda jukwaani muda huo,hivyo hajavunja mkataba wowoteKiukweli wakienda mahakamani Diamond itabidi athibitishe kutumia vifungu vya mkataba aliosaini uhalali wa yeye kutofanya show.
If that's the case, hamna kesi hapo.Show aliyo saini ili takiwa iwe tarehe saba,ila walitaka kumpandisha tarehe nane na yy hakusaini kufanya show tarehe nane.
Ni kwamba,kamouni ilyomwalija imepoteza credibility,goodwill and trust kwa wadau,imeonekana ni ya kitapeli,Je kwa kutokuperfom kwake amesababisha hasara kivipi ikiwa watu walisha lipa hela zao?
Je watu walirudishiwa hela zao coz Diamond hakuperform?
Hapa wataalamu naomba mnieleweshe,
Kuna clip Diamond ametoa na kuelezea hiyo issue ilivyokua,
ukiisikiliza kwa umakini,utaelewa kua hakuna kesi hapo.
Haoo kuna point ila ngoja tuone,jApO tangu tarehe nanewanamwamviaapande jukwaani yeye anadai kuna vurugu hawezi kupanda,mpaka ikafika tarehe tisa,hajuna uvunjifu wa amani ulioripotiwa,yeye ni nani vibe anaita vurugu?Show aliyo saini ili takiwa iwe tarehe saba,ila walitaka kumpandisha tarehe nane na yy hakusaini kufanya show tarehe nane.