Wamevunja vipi mkataba hebu dadavua ,jamaa jagoma kupanda stejini akidai kunavurugu huku chini na mpaka show inaisha hakuna msanii au hata sisimizi aliyejeruhiwa yeye ni nani ajeruhiweIla watanzania tuna katabia ka kujipendekeza kwa watu nchi zingine.
Sasa hapo kuna kesi gani ikiwa wao ndiyo walivunja mkataba?
Support your fellow country man
Hata kama ni haters unatamani aishiwe sio kiwepesi namna hiyo. Umeandika kama Diamond ni mbumbumbu kiasi kwamba aingize kwenye huo mfumo wako kirahisi sana hivyo?. Ujanja wao wakafanye kazi za kuwaingizia kipato halali,sio kuvizia.Wakenya wajanja sana.
Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba.
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
Wao ndio wameingia kwenye mfumo wa mtoto wa Tandale.Wakenya wajanja sana.
Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba.
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
Wakenya wajanja sana.

Ila watanzania tuna katabia ka kujipendekeza kwa watu nchi zingine.
Sasa hapo kuna kesi gani ikiwa wao ndiyo walivunja mkataba?
Support your fellow country man
Ww haulkuna kitu Cha ivyo wao ndo wamevunja mkataba!!Wakenya wajanja sana.
Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba.
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
Anaweza kushinda maana kulikuwa na fujo na ni hatari kwake na watu wake.Wakenya wajanja sana.
Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba.
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
Diamond sio mjinga hajasoma ila anajua kuwatumia wanasheria,hata huo mkataba lazima kutakuwa na hivyo vipengele.Kwanza umeisklikiliza intvw ya Mondi?Haoo kuna point ila ngoja tuone,jApO tangu tarehe nanewanamwamviaapande jukwaani yeye anadai kuna vurugu hawezi kupanda,mpaka ikafika tarehe tisa,hajuna uvunjifu wa amani ulioripotiwa,yeye ni nani vibe anaita vurugu?
Mfano halisi ni huyu mtoa madaMitanganyika ina inferiority complex. Chochote kile cha nje ni bora kuliko wao ndo maana JPM alikua anawaita wanyonge na wao wakaona ni sifa.
Mbongo akisikia Kenya, Rwanda au nchi yeyote ile analoa ndo maana wanaogopa uraia pacha na kushindana kwa namna yeyote ile kimataifa.
Mwanasheria toka bonyokwa hapo umeshatoa hukumu tayariJe kwa kutokuperfom kwake amesababisha hasara kivipi ikiwa watu walisha lipa hela zao?
Je watu walirudishiwa hela zao coz Diamond hakuperform?
Hapa wataalamu naomba mnieleweshe,
Kuna clip Diamond ametoa na kuelezea hiyo issue ilivyokua,
ukiisikiliza kwa umakini,utaelewa kua hakuna kesi hapo.
Huko hakuna mahakama za kibongo za maelekezo, mshaurini msanii wenu aache uhuni pesa kapokea show hajapiga arudishe mpungaHao wakenya hawalambi hata mia mbovu ya mtoto wa tandale... Wamejichanganya tu wanadhani wao ndo wajanja kuliko wa tz wote
Yaani mkuu unajitoa akili sanaWamevunja vipi mkataba hebu dadavua ,jamaa jagoma kupanda stejini akidai kunavurugu huku chini na mpaka show inaisha hakuna msanii au hata sisimizi aliyejeruhiwa yeye ni nani ajeruhiwe
Mashabiki wa Simba sio kwenye michezo tu hata kwenye mambo mengine mnatuaibisha sanaHuko hakuna mahakama za kibongo za maelekezo, mshaurini msanii wenu aache uhuni pesa kapokea show hajapiga arudishe mpunga
Lete huo mkataba wenye hivyo vipengele tuusome, achana na maneno ya kuokoteza,Yaani mkuu unajitoa akili sana
Kwanza mwenzako amefuata mkataba wake unasemaje.
-atapiga show kwa muda gani
-atapanda jukwaani muda gani
-atashuka muda gani
Na vipengele vingine ambayo wazi vinakuwa kwenye mkataba.
Sasa muda wake wa kupanda umefika halafu huyo "wile paulo" analeta fujo kwamba anatakiwa kupanda yeye kisa tu ni mkenya! Kwanza event organisers wanatakiwa kumfungulia mashtaka huyo wile na sio diamond..
Kwanza diamond sio mjinga alishafanya show nyingi duniani anajuwa na experience inamuongoza
Wile alicreate chaos na hatred hukuona on the stage anasema "wakenya wamepigwa back stage na hamuambiwi" sasa kwa akili ya kawaida wakati ni yeye ndiyo alifinywa alipotaka kuleta fujo? Afu anadai ni wakenya wamepigwa huoni anatengeneza chuki kwa wakenya kuwashambulia watanzania waliokuwepo hasa diamond?
Ushabiki usitutoe ufahamu sana
Tuna elimu na utaalam wa maswala mbalimbali lipojitokeza jambo ambalo lipo juu ya uwezo wenu lazima tuibuke kutoa Elimu na kuwaelimisha mazamwamwa kama nyieMashabiki wa Simba sio kwenye michezo tu hata kwenye mambo mengine mnatuaibisha sana
Jitathmini