Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwahiyo wasanii International unadhani wanakuja tu wanaimba imba na kusepa?Lete huo mkataba wenye hivyo vipengele tuusome, achana na maneno ya kuokoteza,
Siyo unatunga tunga vimeneno kuhalalisha utapeli
Labda elimu ya memkwaTuna elimu na utaalam wa maswala mbalimbali lipojitokeza jambo ambalo lipo juu ya uwezo wenu lazima tuibuke kutoa Elimu na kuwaelimisha mazamwamwa kama nyie
Acha porojoKwahiyo wasanii International unadhani wanakuja tu wanaimba imba na kusepa?
Bila mkataba?
Nyamaza usijiaibishe humu sawa?
Unaleta ushabiki mandazi kwenye taaluma za watu?Labda elimu ya memkwa
Nenda kwa diamond akupeAcha porojo
Lete huo mkataba na sisi tusome hivyo vipengere ulivyovisema ili tujadili kwa ufasaha, siyo kuleta maneno ya kuokota hapa unasema ni vipengere vya mkataba
Huna hadhi ya kujadili humu wala kujadiliwaUnaleta ushabiki mandazi kwenye taaluma za watu?
Elimu yako ya memkwa eti unataka kusoma mkatabaUnaleta ushabiki mandazi kwenye taaluma za watu?
We ni mjinga umeleta vifungu vya mkataba umeombwa uulete huo mkataba, unabwabwaja na kutikisa makalioNenda kwa diamond akupe
Sasa unabisha hakuna mkataba halafu tena unadai niulete!
Cause of action ni Kenya,so itafunguliwa Kenya
🤣🤣🤣🤣🤣Inawezekana yes
Mjinga mwingine huyuDiamond ndio anatakiwa alipwe hakuna kesi hapo Wakenya wahuni tu.
Tunaweza mshambulia Diamond tokana na chuki zetu za kizigua tulizonazo sisi ila jamaa ana watu makini sana.bro diamond hana kosa na kwa taarifa yako diamond ana manager wake ambae ni mzoefu wa kila kitu na husafiri na timu yenye wataalamu wa kila fani
Nikiwa mjinga kwako ntajitupa kwenye mto aisee...Mjinga mwingine huyu