Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

Mbona Michael Jackson alijenga misikiti 2? Na ilipokelewa?
 
Hata Trump akijenga Msikiti watu watautumia kwani Makonda yeye ni dini gani mbona wamekjubali wataupokea. kifupi ukiiba then ukanipa hela ya wizi mimi napokea ila dhambi za wizi ni zako, pesa(note/coin) siyo haramu ni halal, uharam upo HOW Umeipata.
 
Mjadala ni mkubwa mitandaoni ndo maana nikatafuta uzi.

Kifupi sisi sio Mungu kujaji hukumu za wenzetu. Yeye katoa msaada, waja watumie msikiti mengine tumwachie Mungu.

Kuna anejiona yeye ndio anastahili kutoa misaada kama miskiti?
Kuna biashara yoyote inayofanyika na kuingiz faida bila kufanya dhambi ikiwemo uongo, dhulma, uzandiki nk?

Suala kubwa linalotajwa ni kile kigodoro cha kwenye treni wakiwa njiani kwenda kigoma. Sasa mbona vigodoro vimetaradad uswahilini huko ambapo ndio kwenye mizizi ta uislam?

Je, haiwezekani kwamba yeye mondi kutoa mskiti ndio mwelekeo wake kuongeza ibada? Sasa tumkubali au tumkatishe tamaa?

Tusubiri mpaka lini ili tuone ni sawa kwa yeye kutoa mskiti? Ni kwamba aache bongo fleva ndio akubalike? Kwani kuna wangapi wanafanya maasi makubwa zaidi na hawafanyi bongo fleva?

Tuache unafki
 
Swali langu kwako , mfano mwanao kaenda vunja nyumba ya jilani yako au akaua mtu huko akafanya uasi kma umalaya, ushoga ushirikina baadae akakuletea shukurani wewe kma mzazi utapokea vile vitu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu masuala ya dini kama huyaelewei bora ungeliyaacha tu.

- Lengo kuu la kujenga Mskiti ni kutafuta kiki tu na si kwa imani. (Kama kajenga kweli)
- Kujenga msikiti au kufanya sadaka ya aina yoyote kwa mujibu wa uislamu ikiwa chumo la mali ile inatokana na chumo la Haramu basi tambua hapo hapana malipo.
- Na mtu wakawaida hautakiwi kupokea sadaka kwa mali ambayo unafahamu sio ya halali. Napia kusali katika msikiti ambao umejengwa kwa mali isiyo ya halali.

Na katika uislamu Chumo la kupitia music liatambulika kama ni katika moja ya chumo la haramu.

Mimi nahisi kama jamaa hela imemchanganyia alikua aendeleze kula bata tu ayo mambo mengine aachane nayo.
 
Pesa sio mchezo ata Mungu anazitaka ili mambo yake yaende
 
Thibitisha mziki ni haramu, maana huku mtaani watu wanacheza kaswida kama ndombolo na masheikh wakiwemo
 
Chezea hela na njaa wewe, Pale ambapo misaada ya msikiti imekuwa pango la kujifichia wale watendao maovu
 
Kama ni dhambi, husamehewa....
 
Au angetoa kimya kimya sio hii ya RIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…