Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

Tafuta pesa zako ufanyie kazi mtazamo wako, sio kutoa mitazamo kwenye pesa za watu bob huo ni uchawi


I'm still sticking to my opinion kwamba misikiti haina faida yoyote kwa jamii. Halafu usiniambue tafuta pesa, kwani nani kakwambia sina?
 
Na Ndiyo mafundisho ili kuepuka kupoteza watu. Kama huna ilmu ya jambo basi usilitoleee maelezo
Kaa pembeni tuko na sheikh mpaka utakapoleta ushahidi sheikh kakosea ndio tutaacha kumfata kwenye hili
 
I'm still sticking to my opinion kwamba misikiti haina faida yoyote kwa jamii. Halafu usiniambue tafuta pesa, kwani nani kakwambia sina?
Misikiti haina faida kwa jamii yenu , ungekuwa na pesa ungejenga shule na kuacha kupigia mahesabu matumizi ya pesa za watu wengine
 
Misikiti haina faida kwa jamii yenu , ungekuwa na pesa ungejenga shule na kuacha kupigia mahesabu matumizi ya pesa za watu wengine


Sasa faida ya misikiti nini? Niweke sawa labda hapo kwanza.
 
Uislamu unaongozwa na Qor'an tukufu na sio masheikh kama wengine mnavo fikir....had masheikh nao ni binadamu pia wana mapungufu nao pia wanapambana na nafsi zao nao pia wanapata matatizo kama tunayo Pata sisi.....hivyo basi kila Qor'an ime haramisha mziki na pesa yake so huwezi kutumia pesa uliyo ipata kwa haramu ukajengea msikiti....so hiyo ni misingi ya Uislamu na sio diamond tu hata wasanii wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali langu kwako , mfano mwanao kaenda vunja nyumba ya jilani yako au akaua mtu huko akafanya uasi kma umalaya, ushoga ushirikina baadae akakuletea shukurani wewe kma mzazi utapokea vile vitu
Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa hatuzungumzii kupokea mali za jambazi, tunazungumzia kujenga mskiti ambao utatumika vizazi na vizazi!

Hivi bongo fleva kumbe ni ujambazi? Mbona haifungiwi na serikali? Huyo mwanangu kama kafanya kazi iliyoruhusiwa na serikali napokea.

Mi sijaji nafsi za watu, mimi si MUNGU....we unajaji nafsi za watu kwani we MUNGU?

Kumbuka inawezekana mwanangu jambazi akawa ni afadhali kuliko wengi wanafiki waliopo kwenye mitandao inayofanya maasi makubwa kupindukia hata mauaji. Hapa wamo hata wanasiasa, wanausalama nk. Hawa huwa vinara mstari wa mbele kwenye madhabahu na wanachukuliwa kama mfano bora kwa jamii kumbe wapi!! Mambo ya imani magumu sana ukiona undani wa nafsi na nyoyo za watu unaowathamini utastaajabu!!

Usijaji watu sababu huna uwezo wa kufanya hiyo kazi ya kujaji ipasavyo.
 
UKO NA SHEKH AU UKO QURAN? UISLAM HAUNDI HIVYO MWAMBIE SHEKH WAKO AKUPE DALILI?
QURAN haijifundishi yenyewe ila mashekh ndio ufundisha watu , wewe kama unazo dalili za kumpinga lete hapa
 
Wenye imani yao wanajua faida yao ndio maana wamemshukuru, wewe kama unaona halina faida kwako usipende kugeneralize mambo kila mtu analo alipendalo


JF ni sehemu ya kuongea openly bila kuogopa. Mi nimezaliwa na kukua Dar. Jiji lenye misikiti mingi kuliko mahali popote pale Afrika ya Mashariki. Okay, labda misikiti ina faida, naomba kufahamishwa na mimi neielewe.
 
Back
Top Bottom