Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

JF ni sehemu ya kuongea openly bila kuogopa. Mi nimezaliwa na kukua Dar. Jiji lenye misikiti mingi kuliko mahali popote pale Afrika ya Mashariki. Okay, labda misikiti ina faida, naomba kufahamishwa na mimi neielewe.
1. Nyumba ya ibada hivyo inawaandaa watu kiroho maana.ni sehemu ambapo unaweza pata mafunzo ya dini bila kusumbua watu wasio wa imani yako , katika UISLAMU ibada ya msikitini ni bora kuliko kuswali mwenyewe nyumbani
2.Ukijenga msikiti malipo yako hayawezi katika mpaka msikiti ubomoke ata kama umekufa ( hii ni account isiyo chacha )

Hivyo sijaona tatizo hapo kama ameamua kufanya jambo kwa imani yake kuwa baada ya maisha haya atapata marejeo mazuri
 
Wewe mbona umeshindwa kuleta dalili alizokupa?
Mimi nimemsikiliza nimemuelewa kuwa yuko sawa, wewe unaemkataa ndio nakusikilize hoja zako kama nzito nabadili msimamo kinyume na hapo nipo na sheikh
 
Mimi nimemsikiliza nimemuelewa kuwa yuko sawa, wewe unaemkataa ndio nakusikilize hoja zako kama nzito nabadili msimamo kinyume na hapo nipo na sheikh
Lete comment niliyokataa.
Niko makini. Sijakataa na Wala Sijakubali.
 
1. Nyumba ya ibada hivyo inawaandaa watu kiroho maana.ni sehemu ambapo unaweza pata mafunzo ya dini bila kusumbua watu wasio wa imani yako , katika UISLAMU ibada ya msikitini ni bora kuliko kuswali mwenyewe nyumbani
2.Ukijenga msikiti malipo yako hayawezi katika mpaka msikiti ubomoke ata kama umekufa ( hii ni account isiyo chacha )

Hivyo sijaona tatizo hapo kama ameamua kufanya jambo kwa imani yake kuwa baada ya maisha haya atapata marejeo mazuri
Kwa Muislam cha kwanza kuangaliwa na swala. Kama haijakamilika amali zingine ndio zina chukuliwa. Ila kama haikutimizwa Allah ndiye mjuzi zaid
 
Hizi imani hizi!!!
Mzee Yusufu aliacha kuimba muziki,kwa sababu kuna ushetani,na Imani yake ya Islam inasema hivyo,sasa HV amekuwa shekh!! Na waumin wali!pongeza saaaana.
Sasa huku Mondi anajenga msikiti,kutokana na fedha za muziki!!! Waumin walewale wanampongeza!!!so kipi ni kipi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mambo zilimfilisi Mansa Mussa.
 
Allah ndo mtoa hukumu ,wala sii sisi binadamu .ila tambuwa kuwa hakuna dini isiyo kuwa na sheria zake,na miongoni mwa sheria hzo zinaelezea ni yapi matendo mema na hukumu zake .


Kiupande wetu hata uwe unafanya mazuri kiasi gani,wakat PESA yako sii ya halali tambuwa kuwa hupati malipo yoyote kwa mola .ndo maana Allah akasema
kuna w2 watafanya matendo mazuri ila kwa bahat mbaya kwa sbbu sii ktk sisi,matendo yao hayatakuwa na faida ktk siku ya kiama.

MASJID IMEJENGWA,IBADA W2 WAFANYE SII KOSA.

MASHEIKH NA DIAMOND NDO WATAJUWA WAO HUKOO.
Mjadala ni mkubwa mitandaoni ndo maana nikatafuta uzi.

Kifupi sisi sio Mungu kujaji hukumu za wenzetu. Yeye katoa msaada, waja watumie msikiti mengine tumwachie Mungu.

Kuna anejiona yeye ndio anastahili kutoa misaada kama miskiti?
Kuna biashara yoyote inayofanyika na kuingiz faida bila kufanya dhambi ikiwemo uongo, dhulma, uzandiki nk?

Suala kubwa linalotajwa ni kile kigodoro cha kwenye treni wakiwa njiani kwenda kigoma. Sasa mbona vigodoro vimetaradad uswahilini huko ambapo ndio kwenye mizizi ta uislam?

Je, haiwezekani kwamba yeye mondi kutoa mskiti ndio mwelekeo wake kuongeza ibada? Sasa tumkubali au tumkatishe tamaa?

Tusubiri mpaka lini ili tuone ni sawa kwa yeye kutoa mskiti? Ni kwamba aache bongo fleva ndio akubalike? Kwani kuna wangapi wanafanya maasi makubwa zaidi na hawafanyi bongo fleva?

Tuache unafki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndugu yangu, mashekih kucheza ndombolo na kaswida haiwi sbbu ya kusema music ni HALALI.

Wao ni binadmu kama sisi ila utofauti wao pengne wana elimu kubwa kuliko sisi,ila elimu yao haina faida ikiwa wataitumia ktk misingi isiyo sahihi.


Kwani na nyinyi hao viongoz wenu wa dini hawafany mabaya? jee kitabu chenu kimebadlisha kuwa kwa sbbu amefanya kiongoz Hili sii kosa?


Hakuna mkamilifu isipo kuwa mwenyezi Mungu maana yy hakuza wala hakuzaliwa na wala hana mshirika.yy hana mapungufu .

Ila binadmu ndio wenye mapungufu wakiwemo hao viongoz,wa dini.
Thibitisha mziki ni haramu, maana huku mtaani watu wanacheza kaswida kama ndombolo na masheikh wakiwemo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji34][emoji34][emoji34] we jamaa,sikia PESA Ni zetu wenyewe utatupangia jee namna ya kuzitumia? kila m2 atumie pesa yake kwa namna ya yy anavyoona ni shihi.

Wengne wanawekeza kwenye kilimo,wengne viwanda .jee kuna tatizo ktk uwekezaji huo?

Hasa nyinyi ,watu wabara .maamuzi yenu munawekeza ktk shule,wekezeni kwa sbbu ndo munaamini huko ndoo kwenye faida na nyinyi.

So
Na sisi kujenga misikit na madrasa ni maamuzi yetu kutokana na malengo yetu ,na dini yetu inavyotaka.muna dini yenu tuna dini yetu,kwa nn mutupangie cha kufanya.


Shule shule shule jengeni someni .
Ila mutuache na madrasa zetu na masikiti yetu

LAANA TULLAIH ALLAHI.[emoji34][emoji34][emoji34]
Akili kama za wazanzibari hizi. Badala ya kujenga shule au hospitali ajenge msikiti. Msikiti utasaidia nini Manzese? Kuharibu pesa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji3166][emoji3166][emoji3166]kasema ina faa? Kwa sbbu zipi ? Nasema haifai kwa sbbu PESA za ujenzi ni za haramu .MUSIC NI HARAMU HARAMU HARAMU HARAMU HARAMU.

halafu sio kila anachosema sheikh kuwa ni sahihi, dini zimetutka tuzisome dini zetu ili tuu tusiwe mazwazwa,viongozi wakifanya ki2 kwa matakwa yao,lazima tupinge kwa sbbu na sisi tumesoma dini.hata kama Ni kidogo.
Wao Ni viongozi tuu ,haimanish kuwa wao ndo wanajuwa sana kuliko waumini wote.

Sheikh kasema yafaa , wewe unasemaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom