Diamond Kujenga Msikiti, Je Masheikh Wataupokea??

Akili kama za wazanzibari hizi. Badala ya kujenga shule au hospitali ajenge msikiti. Msikiti utasaidia nini Manzese? Kuharibu pesa tu
 
Akili kama za wazanzibari hizi. Badala ya kujenga shule au hospitali ajenge msikiti. Msikiti utasaidia nini Manzese? Kuharibu pesa tu
Tafuta Pesa zako ndio ujenge shule wewe,wacha kupangia watu matumizi ya pesa zao wakati kwenye kutafuta hukuwepo
 
Kwani Diamond na Ghadaffi yupi mwenye dhambi nyingi
 
Tafuta Pesa zako ndio ujenge shule wewe,wacha kupangia watu matumizi ya pesa zao wakati kwenye kutafuta hukuwepo

Siwezi kumpangia mtu yeyote, nimetoa mtazamo kama kila mtu anavyofanya hapa. Sasa nakushangaa kwanini umepanic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…