Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu wana PHD ya matusi . .Utashambuliwa na baadhi ya wanaume wasiojitambua wao ni me au ke, mara wamwite simba, chibu dangota, baba tee kama wanapumuliwa
Na ww unajikuta umeongea bonge moja point kweli apo bongo kweli nyosoHata kirefu cha lebo yake WCB..
Wasafi Classic Baby..
Huwa kinachekesha..!!!
Elimu.. Elimu.. Elimu.. Elimu.
Na ww unajikuta umeongea bonge moja point kweli apo bongo kweli nyoso
Soon ID ya Faru John itaanzshwa humu ndani.angejiita faru john maana wanafanana sifa...kuanzia kumiliki majike mengi hdi ubabe na ujanjaujanja
endelea kucheka wenzio wanapiga pesaHata kirefu cha lebo yake WCB..
Wasafi Classic Baby..
Huwa kinachekesha..!!!
Elimu.. Elimu.. Elimu.. Elimu.
Unafaa kupuuzwaWasafi Classic Baby hahahha baby girl au baby mtoto???
mbona ipo...nenda kwenye uzi kama sikosei ni wa recho...kuna mkuu alimuuliza 'we si nasikia umekufa'?' hahh jf bwanaSoon ID ya Faru John itaanzshwa humu ndani.
Wasalam kwenu nyote.
Kwanza namshukuru Allah walau kwa kuniwezesha kuandika chochote Hapa, muda huu Ni ushauri kwa mwanamuziki Diamond Platinumz napenda kumshauri aache kutumia Jina Dangote kwani alianza kulitumia Baada ya bilionea Huyo wa kinigeria kuja kuwekeza Tanzania.
Raisi Magufuli amekiri kua yeye Ni maskini kuliko Dangote Tena amekiri mbele ya vyombo vya Habari sasa msanii wetu nguli Hilo Jina Achana nalo tumia Jina lako la kawaida la kisanii kwa kua maji ya Dangote Ni marefu hata trump hafiki .
Unafaa kupuuzwa
Sio bure umetumwa wwUtashambuliwa na baadhi ya wanaume wasiojitambua wao ni me au ke, mara wamwite simba, chibu dangota, baba tee kama wanapumuliwa
Akili ndogo inakusumbuaWasalam kwenu nyote.
Kwanza namshukuru Allah walau kwa kuniwezesha kuandika chochote Hapa, muda huu Ni ushauri kwa mwanamuziki Diamond Platinumz napenda kumshauri aache kutumia Jina Dangote kwani alianza kulitumia Baada ya bilionea Huyo wa kinigeria kuja kuwekeza Tanzania.
Raisi Magufuli amekiri kua yeye Ni maskini kuliko Dangote Tena amekiri mbele ya vyombo vya Habari sasa msanii wetu nguli Hilo Jina Achana nalo tumia Jina lako la kawaida la kisanii kwa kua maji ya Dangote Ni marefu hata trump hafiki .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ka hujui kuandika omba hata ushaur eti magufuli kasema ni maskini kuliko dangote hiv kwan dangote ni maskin af maguful maskin zaid
Kwa taarifa yako Aliko Dangote ni tycoon balaa, Trump atangoja sana. Dangote ni Tajiri wa 51 duniani na Trump ni wa 324 duniani. Range ya 273. Dangote ni noma, Proudly of Black Color (Ngozi Nyeusi) pia Dangote ni Tajiri kuliko Roman Abramovich (mmiliki wa Chelsea Fc).unapoongea kitu kwenye social networks tujaribu kuongea kwa facts,,huwezi sema dangote tajiri kuliko Trump ikaingia akilini pia husikashifu kitu cha kwenu jua wa nje hatokithamini kamwe so tunajishusha wenyewe
Ni tajiri kuliko ukiunganisha utajir wa trump na abromivick hiyo ni fact according to forbesunapoongea kitu kwenye social networks tujaribu kuongea kwa facts,,huwezi sema dangote tajiri kuliko Trump ikaingia akilini pia husikashifu kitu cha kwenu jua wa nje hatokithamini kamwe so tunajishusha wenyewe
Yani kaweza kubadili hilo neno linalokuchekesha kuwa brand. Kuna watu wana makampuni yana majina mazuri lakini hayana nguvu kama wcb.Hata kirefu cha lebo yake WCB..
Wasafi Classic Baby..
Huwa kinachekesha..!!!
Elimu.. Elimu.. Elimu.. Elimu.