Diamond kujiita Dangote unajidhalilisha tafuta jina jingine

Hivi ni kweli anajiita Dangote au ni watu tu wamemtungia?
 
Hata boss wa Chelsea hafikii utajiri wa Dangote real Dangote
 
Utashambuliwa na baadhi ya wanaume wasiojitambua wao ni me au ke, mara wamwite simba, chibu dangota, baba tee kama wanapumuliwa
Alafu wana PHD ya matusi . .
Hahaha
 
AnajidhLilisha au anamdhalilisha dangote
 
Utashambuliwa na baadhi ya wanaume wasiojitambua wao ni me au ke, mara wamwite simba, chibu dangota, baba tee kama wanapumuliwa
Sio bure umetumwa ww
 
Akili ndogo inakusumbua
 
unapoongea kitu kwenye social networks tujaribu kuongea kwa facts,,huwezi sema dangote tajiri kuliko Trump ikaingia akilini pia husikashifu kitu cha kwenu jua wa nje hatokithamini kamwe so tunajishusha wenyewe
Kwa taarifa yako Aliko Dangote ni tycoon balaa, Trump atangoja sana. Dangote ni Tajiri wa 51 duniani na Trump ni wa 324 duniani. Range ya 273. Dangote ni noma, Proudly of Black Color (Ngozi Nyeusi) pia Dangote ni Tajiri kuliko Roman Abramovich (mmiliki wa Chelsea Fc).
Dangote ana utajiri wa USD 15.4 Billion, ---- 51 Duniani
Abramovich ana utajiri wa USD 7.6 Billion, ---- 151 Duniani
Trump USD 4.5 Billion ----- 324 Duniani
Dangote Si Mtu wa Sport Sport.
Chanzo: Forbes 2016
 
unapoongea kitu kwenye social networks tujaribu kuongea kwa facts,,huwezi sema dangote tajiri kuliko Trump ikaingia akilini pia husikashifu kitu cha kwenu jua wa nje hatokithamini kamwe so tunajishusha wenyewe
Ni tajiri kuliko ukiunganisha utajir wa trump na abromivick hiyo ni fact according to forbes
 
Hata kirefu cha lebo yake WCB..
Wasafi Classic Baby..
Huwa kinachekesha..!!!
Elimu.. Elimu.. Elimu.. Elimu.
Yani kaweza kubadili hilo neno linalokuchekesha kuwa brand. Kuna watu wana makampuni yana majina mazuri lakini hayana nguvu kama wcb.
Katika biashara na marketing ni kuwafanya watu kitu cha kawaida waone cha thamani hata kama cha kipuuzi.
Elimu elimu elimu... jamaa hajasoma lakini ameweza kufanya na kuingiza ela kuliko wenye hiyo elimu na si ajabu kawaajili wengi waliomzidi elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…