Hamisi Matongo
Member
- Nov 21, 2016
- 7
- 3
Hivi mwanangu umekosa factor ya kuandika eti,naona pumbaaaaaa tu hzo cjaona chochote ww kinakuuma nini yaaanNa ww unajizalilisha kujiita AROVERA tafta jingine tu.
Kazi ipo, mbona factor! tehHivi mwanangu umekosa factor ya kuandika eti,naona pumbaaaaaa tu hzo cjaona chochote ww kinakuuma nini yaaan
Fact Sana anapiga pesa bhana WCB ndo lebo inatamkika hivyo so kirefu uwa hakimati sana.Yani kaweza kubadili hilo neno linalokuchekesha kuwa brand. Kuna watu wana makampuni yana majina mazuri lakini hayana nguvu kama wcb.
Katika biashara na marketing ni kuwafanya watu kitu cha kawaida waone cha thamani hata kama cha kipuuzi.
Elimu elimu elimu... jamaa hajasoma lakini ameweza kufanya na kuingiza ela kuliko wenye hiyo elimu na si ajabu kawaajili wengi waliomzidi elimu
te te te teh!Malori 600 yamewachanganya sana bavicha, mnaishia kuandika uzi za darasa la pili.
We ushaacha kupumuliwa kwani?Utashambuliwa na baadhi ya wanaume wasiojitambua wao ni me au ke, mara wamwite simba, chibu dangota, baba tee kama wanapumuliwa
Dangote anamzidi trump utajiri, Dangote akiwa wa 26 duniani trump Ni tajiri wa 240 kasome vizuriunapoongea kitu kwenye social networks tujaribu kuongea kwa facts,,huwezi sema dangote tajiri kuliko Trump ikaingia akilini pia husikashifu kitu cha kwenu jua wa nje hatokithamini kamwe so tunajishusha wenyewe
Imeingia hiyo, katikaWe ushaacha kupumuliwa kwani?