Diamond kujiita Dangote unajidhalilisha tafuta jina jingine

Diamond kujiita Dangote unajidhalilisha tafuta jina jingine

Kwani Elimu ni nini, Diamond mbona ni mwalimu mzuri tu.....Elimu Elimu Elimu ni nini hiki????? Maana kila kitu utasikia Elimu, tujuzeni labda Elimu ipi!
 
Malori 600 yamewachanganya sana bavicha, mnaishia kuandika uzi za darasa la pili.
 
Hivi ni yeye kajiita au mashabiki ndio wamemwita hivyo?
 
Yani kaweza kubadili hilo neno linalokuchekesha kuwa brand. Kuna watu wana makampuni yana majina mazuri lakini hayana nguvu kama wcb.
Katika biashara na marketing ni kuwafanya watu kitu cha kawaida waone cha thamani hata kama cha kipuuzi.
Elimu elimu elimu... jamaa hajasoma lakini ameweza kufanya na kuingiza ela kuliko wenye hiyo elimu na si ajabu kawaajili wengi waliomzidi elimu
Fact Sana anapiga pesa bhana WCB ndo lebo inatamkika hivyo so kirefu uwa hakimati sana.
Dawa ni ku make money tu mambo mengine ziada
 
Nasikia kampunga kakiongezeka kidogo tu atajiita bill gate
 
unapoongea kitu kwenye social networks tujaribu kuongea kwa facts,,huwezi sema dangote tajiri kuliko Trump ikaingia akilini pia husikashifu kitu cha kwenu jua wa nje hatokithamini kamwe so tunajishusha wenyewe
Dangote anamzidi trump utajiri, Dangote akiwa wa 26 duniani trump Ni tajiri wa 240 kasome vizuri
 
Hujui pia amejiita jina hilo kwa maana ipi??? Je kama diamond role model wake ni dangote akaamua ajiite hivo ili iwe chachu ya yeye kujituma zaid n zaid ili atimize ndoto zake???
 
Back
Top Bottom