Diamond kujiita Dangote unajidhalilisha tafuta jina jingine

Diamond kujiita Dangote unajidhalilisha tafuta jina jingine

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wasalam kwenu nyote,

Kwanza namshukuru Allah walau kwa kuniwezesha kuandika chochote hapa, muda huu ni ushauri kwa mwanamuziki Diamond Platinumz napenda kumshauri aache kutumia Jina Dangote kwani alianza kulitumia baada ya bilionea huyo wa kinigeria kuja kuwekeza Tanzania.

Raisi Magufuli amekiri kua yeye ni maskini kuliko Dangote tena amekiri mbele ya vyombo vya habari sasa msanii wetu nguli hilo jina achana nalo tumia jina lako la kawaida la kisanii kwa kua maji ya Dangote ni marefu hata trump hafiki.
 
Ka hujui kuandika omba hata ushaur eti magufuli kasema ni maskini kuliko dangote hiv kwan dangote ni maskin af maguful maskin zaid
 
Wasalam kwenu nyote.
Kwanza namshukuru Allah walau kwa kuniwezesha kuandika chochote Hapa, muda huu Ni ushauri kwa mwanamuziki Diamond Platinumz napenda kumshauri aache kutumia Jina Dangote kwani alianza kulitumia Baada ya bilionea Huyo wa kinigeria kuja kuwekeza Tanzania.

Raisi Magufuli amekiri kua yeye Ni maskini kuliko Dangote Tena amekiri mbele ya vyombo vya Habari sasa msanii wetu nguli Hilo Jina Achana nalo tumia Jina lako la kawaida la kisanii kwa kua maji ya Dangote Ni marefu hata trump hafiki .

Na ww unajizalilisha kujiita AROVERA tafta jingine tu.
 
Duu hii habari sijui ni ushauri,uelewa wake mdogo, kasumba au mtazamo wake.???
Mi natarajia kupata mtoto mwezi huu hebu nipe majina yasiyodharirishana
 
Badilsha kwanza jna lako maana ww pia umerth kutoka kwa babu yako na hufanan nae hata kucha

Serkal ya mtu kichwa cha mtu ucmpangie mtu kufanya kitu
 
Wasalam kwenu nyote.
Kwanza namshukuru Allah walau kwa kuniwezesha kuandika chochote Hapa, muda huu Ni ushauri kwa mwanamuziki Diamond Platinumz napenda kumshauri aache kutumia Jina Dangote kwani alianza kulitumia Baada ya bilionea Huyo wa kinigeria kuja kuwekeza Tanzania.

Raisi Magufuli amekiri kua yeye Ni maskini kuliko Dangote Tena amekiri mbele ya vyombo vya Habari sasa msanii wetu nguli Hilo Jina Achana nalo tumia Jina lako la kawaida la kisanii kwa kua maji ya Dangote Ni marefu hata trump hafiki .
Jamani si jina tuu
 
unapoongea kitu kwenye social networks tujaribu kuongea kwa facts,,huwezi sema dangote tajiri kuliko Trump ikaingia akilini pia husikashifu kitu cha kwenu jua wa nje hatokithamini kamwe so tunajishusha wenyewe
 
c3912f87dc387147f9a865e38b6bed76.jpg
 
Back
Top Bottom