USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .
Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .
Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao