Uchaguzi 2020 Diamond kukataliwa kupanda jukwaa kuu iwe fundisho, Rais aheshimiwe

Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .

Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .

Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao

USSR
Hasira tu kwasababu juzi kati alikuwa na Mo mliyemteka. Gari la Manji kuoshwa na mashabiki wa Yanga yenyewe ilikuwa shida😀🤦🏾‍♂️
 
Watu mna macho ya bundi, yaani kila point ya matukio mnaona na kurekodi
Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .

Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .

Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao

USSR
 
Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .

Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .

Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao

USSR
Hivi Magu mbona kama hampendi diamond kiaina. Yaani hata kuna siku eti mpaka jina kasahau anaitwa nani.
 
Wajinga ni CCM Diamond amekula mihela yake sasahiv anaihesabu, ana hasara gani?

We unadhani anajali chochote?

Wewe tu ndo unapiga domo, mtu ameshavuna pesa za wajinga, unadhani kupanda jukwaa la Rais kungemuongezea nini cha ziada?
Uko sahihi
 
Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .

Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .

Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao

USSR

Fiestaccm sasa hivi hamna hoja mmebaki kujadili burudani na wasanii, badala uzungumze mambo ya nchi na ule utapeli wa ajira 8m, unaongea watu kupanda jukwaani la rais! Ingekuwa ni rais wa US si ungepata heart attack kabisa.
 
Na hili ndo tukio kubwa uwanjani Jana kuliko uzinduzi wa kampeni zenu za kishamba.
 
Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .

Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .

Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao

USSR
Anayedhalilisha Cheo cha u Raisi ni Jiwe wenu anayewapigia Simu akina Diamond Usiku wa Manane wakiwa kwenye stage za starehe
 
Wajinga ni CCM Diamond amekula mihela yake sasahiv anaihesabu, ana hasara gani?

We unadhani anajali chochote?

Wewe tu ndo unapiga domo, mtu ameshavuna pesa za wajinga, unadhani kupanda jukwaa la Rais kungemuongezea nini cha ziada?
Hivi wanalipwa kweli? Unaweza kuta wanaunga mkono juhudi tu
 
Back
Top Bottom