Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ccm na bashiru wao wanakoelekea wataanza kuleta wasanii kutoka nje ya Tanzania au Afrka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]FiestaCCM...CCM bila ya wasanii uwanjani ni sawa na chai bila ya sukari.
Eti Domo sijui kataka kupanda stage ya nani..blah blah kibao. Nonsense.
Hasira tu kwasababu juzi kati alikuwa na Mo mliyemteka. Gari la Manji kuoshwa na mashabiki wa Yanga yenyewe ilikuwa shida😀🤦🏾♂️Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .
Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .
Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao
USSR
Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .

Unataka kumfanya nini mwenzako aisee?Si ulale tu
Hivi Magu mbona kama hampendi diamond kiaina. Yaani hata kuna siku eti mpaka jina kasahau anaitwa nani.Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .
Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .
Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao
USSR
Mond ni msanii wa Kikwete na Konde boy ndo msanii wa mzee babaHivi Magu mbona kama hampendi diamond kiaina. Yaani hata kuna siku eti mpaka jina kasahau anaitwa nani.
Uko sahihiWajinga ni CCM Diamond amekula mihela yake sasahiv anaihesabu, ana hasara gani?
We unadhani anajali chochote?
Wewe tu ndo unapiga domo, mtu ameshavuna pesa za wajinga, unadhani kupanda jukwaa la Rais kungemuongezea nini cha ziada?
Ila alikiba nyimbo zake waheshimiwa waliamka na wengine kutingisha vichwa kinomanoma, kiba nyimbo zake zina maadili
Hapana aisee umekosea. Nadhani Ali Kiba ni wa kikwete. Konde sawa kabisa Mondi sijajua kwa kweli labda Alhajj BashiteMond ni msanii wa Kikwete na Konde boy ndo msanii wa mzee baba
Leo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .
Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .
Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao
USSR
Wapi imedodaMikutano ya Chadema inawadodea huko sijui taarifa hizo mnazo??
Hapo ndio alipokosea [emoji23][emoji23][emoji23]Rais wa Wasafi anataka akae na Rais wa nchi
Mkuu pesaSema kinachoonekana hapa wasanii wote wamekimbilia ccm
Anayedhalilisha Cheo cha u Raisi ni Jiwe wenu anayewapigia Simu akina Diamond Usiku wa Manane wakiwa kwenye stage za stareheLeo kwenye uzinduzi wa kampaini za chama dume hapa Dodoma wasanii wote wakubwa walioimba kablaa ya hotuba ya mgombea walipangiwa jikwaa lao tena mbali kidogo na jukwaa kuu na alianza Konde boy akatumbuiza bila kufika jukwaa kuu kisha akaja ally kiba naye akafuta ustarabu ishu ikaja kwa huyu diamond aliharibu protocol nadhani hakujua sababu ya kuwekwa majukwaa mawili .
Nimeona kama alitaka kujikweza baada ya kuona ameshangikiwa sana akataka kupanda mlango wa kwanza akazuiwa akazuga kisha akahamia mwingine nako akazuiwa akaishia kupewa mkono kwa mbali na rais Kikwete ikabidi awe baridi tu avunge asepe .
Kuna haja ya wasanii wetu na watanzania kutambua kuwa rais ni cheo kipana sana na kikuu mno hivyo waheshimu na wajue mipaka yao
USSR
Hivi wanalipwa kweli? Unaweza kuta wanaunga mkono juhudi tuWajinga ni CCM Diamond amekula mihela yake sasahiv anaihesabu, ana hasara gani?