Uchaguzi 2020 Diamond kukataliwa kupanda jukwaa kuu iwe fundisho, Rais aheshimiwe

WEKA KA PICHA
 
Hivi Magu mbona kama hampendi diamond kiaina. Yaani hata kuna siku eti mpaka jina kasahau anaitwa nani.

kweli ?[emoji1787] Jiwe yeye anajipendaga yeye tu,tafuta ule uzi watu wametililika private life yake humu,wanadai hata kwake anawapeleka ki JKT
 
TRUE SAID MKUU 100%
 
Hivi Magu mbona kama hampendi diamond kiaina. Yaani hata kuna siku eti mpaka jina kasahau anaitwa nani.

Nikukumbushe tu aliwahi kumpigia simu akiwa ana perform Kigoma akamwambia "Diamond kweli wewe ni mwanaume".
 
Chama Cha wachaga (Chadema) na nyie si muweke wasanii mbna mnalia lia au hela za kuwapa hamna mchangiwe?...😅 af wewe uliyemuita Diamond Domo, sura yako imekaa kama kipoozeo cha pombe kenge wewe...😅.
 
Nikukumbushe tu aliwahi kumpigia simu akiwa ana perform Kigoma akamwambia "Diamond kweli wewe ni mwanaume".
Yeah nakumbuka. Ukintajia incident nyingine ya upendo kama hiyo utanibadilisha mawazo nlokua nayo.
Yaani 'harmonizer' kama anavimuita akiperform mkulu lazima asimame au ajitingishe. Ila kwa diamond dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…