Tetesi: Diamond kumjengea bonge la jumba na kumpa baadhi ya mali zake baba yake wa kambo

Tetesi: Diamond kumjengea bonge la jumba na kumpa baadhi ya mali zake baba yake wa kambo

Huyo jamaa najua stories zake A to Z mwanzo nilijua wanamuwangia huyo mama kumbe ni kweli amepagawa na muhuni mzama chumvini mama hasikii haoni sijui kama hampelekei moto nyuma[emoji23][emoji23], maana mchizi mwenyewe ni muhuni tu msaka tonge ameamua ku infiltrate ngome kupitia weakness na ushamba wa huyo mama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...we jamaa bana "muhuni" sana khaa
 
Familia nyingine bhana.... Nawaza ingekuwa n mama yangu nahama bara nakimbilia bara lingine......
 
Acheni ulofa na ufala, hivi mtu akiyaandika ya mama yako utajisikiaje? Hivi wewe utakuwa mtu wa namna gani? Maisha binafsi ya mtu(tena wa kariba ya mzazi )yanakuhusu nini? Mbona huandiki baba na mama yako walivyotongozana, na hata wanavyolala ili kuonyesha udaku wako? Acheni ujinga wenu jamaniiii....
Hawawezi kuandikwa sababu mama yake hajafanya upumbafu kama alio ufanya huyu mama Dai....
 
Naona hamumjui chibu vizuri yule ndio diamond Simba originally Wa Tandale Chibu hazulimiki ni mjanja kupita sungura ndio maana mnaona matunda ya kazi yake yanaonekana waziwazi hataki utani kwenye pesa!.... Kiufupi ni kwamba hata akimjengea jamaa nyumba...jina LA hati litakuwa lake au La mamake sasa jamaa kama anajidai muhuni chibu ndio muhuni zaidi Wa Tandale....akikuhonga gari unauza LA zamani unaongeza pesa yako na yeye anaongeza kidogo ndio akununulie hachuniki!... Kaulizeni wasichana aliowakaza.....Simba Wa tandale anaona mbali sana Zari mwenyewe ajipange.
Na wewe alivyokugonga ukataka akununulie gari ndiyo alivyokwambia kwanza ,uza hilo lako la zaman then nikuongezee Pesa ununue jipya???
Mtagongwa sana tu na tamaa zenu,kumbafuu....
 
Nasikia jamaa ni zungu LA unga,, , limekuja kufata mtaji,,, DADA mange kasema
 
😀😀😀 hivi hizi habari mnazitoa wapi? maana ni za siri sana. Nimeamini kuna viumbe hai na visivyo hai.
 
Huyu maza,alisemwa sana kuhusu kupenda serengeti boys,watu wakatoka povu, hata salama aliwahi muuliza diamond kwny intrv wakati huo habar hzi zilikua hazija kick
 
Back
Top Bottom