Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,193
- 926
Na wewe wajengee wazazi wako upate baraka na maisha marefu duniani.tunajua lengo lako ni kutupa umbea, lakin ilo jambo zuri na mfano wa kuigwa kwa vijana wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshort huyu kaka naskia ni mjanja sana yani yupo kimaslahi zaidi. Na nnasikia huyu mama kwa sasa ni mjamzito na soon anatarajia kujifungua yaani huyu kaka ndio anayefaidi hela za diamond kwa sasa kupitia mgongo wa mama yake bi sandra
Kiukweli mapenzi hayana umri so tumuacheni na maisha yale wapendwa ila huyu mama aache kujianika tu mitandaoni maaana anatia aibu sana
What!!!! Bi Sandra ni mjamzito??Inshort huyu kaka naskia ni mjanja sana yani yupo kimaslahi zaidi. Na nnasikia huyu mama kwa sasa ni mjamzito na soon anatarajia kujifungua yaani huyu kaka ndio anayefaidi hela za diamond kwa sasa kupitia mgongo wa mama yake bi sandra
Kiukweli mapenzi hayana umri so tumuacheni na maisha yale wapendwa ila huyu mama aache kujianika tu mitandaoni maaana anatia aibu sana
kwa hiyo ulitaka huyo jamaa awe baba ako?aoe mama ako?...kwani bi sandra siyo mwanamke?....Hana kile Mwanamme anataka?....USWAHILI HUO MAN....Mimi kama mimi sijapendelea kabisa hii ndoa
Acheni ulofa na ufala, hivi mtu akiyaandika ya mama yako utajisikiaje? Hivi wewe utakuwa mtu wa namna gani? Maisha binafsi ya mtu(tena wa kariba ya mzazi )yanakuhusu nini? Mbona huandiki baba na mama yako walivyotongozana, na hata wanavyolala ili kuonyesha udaku wako? Acheni ujinga wenu jamaniiii....Kwa habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba mwanamuziki ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa hapa nchini na Africa kwa ujumla Diamond Platnums Chibu Di Chibu De a.k.a Muuza Karanga anataka kumjengea bonge moja la jumba mithili ya kasri baba yake wa kambo pamoja na kumuingiza katika baadhi ya mali zake ili apewe muongozo mzuri wa baba yake huyo wa kambo.
Haya yote yamefanyika kutokana na Bi Sandra kumng'ang'aniza sana Dai ingawaje mwanzoni ilikuwa ngumu kukubali ila mwishoe Diamond aliamua kukubali ili tu amridhishe mama yake maana ametoka naye mbali sana na amemlea kwa shida hivyo basi hawezi kumpinga jambo lolote atakalo ambiwa.
Diamond kwa kiasi fulani hana furaha kabisa kwa huyu baba yake wa kambo ila tu anajitahidi kufosi furaha ili asimkwaze bi Sandra.
Mpaka sasa hilo kasri halijajulikana litaenda kushushwa wapi ila litakuwa miongoni mwa sehemu zilizotulia nje ya dar.
View attachment 652453Hapa wakiwa na wajukuu zao ,Nillan na Tiffa.
Halafu nilipata habari kwamba Bi Sandra alikuwa wa kwanza kumtongoza jamaa na kumpa ahadi kedekede kama atakubali kuwa naye.Jamaa alitia ngumu mwishoye akalainika.
Ila kwa kweli Bi Sandra naye amezidi umapepe ,mwishoe amtie jakamoyo Diamond bure ashindwe kutengeneza ngoma nzuri kwa stress kama hizi na fedheha.
Haya cc wambea wote mje hapa tujadiliane.
Unajua upo jukwaa lipi?Acheni ulofa na ufala, hivi mtu akiyaandika ya mama yako utajisikiaje? Hivi wewe utakuwa mtu wa namna gani? Maisha binafsi ya mtu(tena wa kariba ya mzazi )yanakuhusu nini? Mbona huandiki baba na mama yako walivyotongozana, na hata wanavyolala ili kuonyesha udaku wako? Acheni ujinga wenu jamaniiii....
Inshort huyu kaka naskia ni mjanja sana yani yupo kimaslahi zaidi. Na nnasikia huyu mama kwa sasa ni mjamzito na soon anatarajia kujifungua yaani huyu kaka ndio anayefaidi hela za diamond kwa sasa kupitia mgongo wa mama yake bi sandra
Kiukweli mapenzi hayana umri so tumuacheni na maisha yale wapendwa ila huyu mama aache kujianika tu mitandaoni maaana anatia aibu sana
Pamoja na kwamba mama ni mzazi ila huyu too much, hana hekima wala busara, akili zake zinafanana na za mwanae domo, aliambiwa baba yako alikukataa likakubali , bora nisiwe na mama kuliko kituko kama hichi,Kwa habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba mwanamuziki ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa hapa nchini na Africa kwa ujumla Diamond Platnums Chibu Di Chibu De a.k.a Muuza Karanga anataka kumjengea bonge moja la jumba mithili ya kasri baba yake wa kambo pamoja na kumuingiza katika baadhi ya mali zake ili apewe muongozo mzuri wa baba yake huyo wa kambo.
Haya yote yamefanyika kutokana na Bi Sandra kumng'ang'aniza sana Dai ingawaje mwanzoni ilikuwa ngumu kukubali ila mwishoe Diamond aliamua kukubali ili tu amridhishe mama yake maana ametoka naye mbali sana na amemlea kwa shida hivyo basi hawezi kumpinga jambo lolote atakalo ambiwa.
Diamond kwa kiasi fulani hana furaha kabisa kwa huyu baba yake wa kambo ila tu anajitahidi kufosi furaha ili asimkwaze bi Sandra.
Mpaka sasa hilo kasri halijajulikana litaenda kushushwa wapi ila litakuwa miongoni mwa sehemu zilizotulia nje ya dar.
View attachment 652453Hapa wakiwa na wajukuu zao ,Nillan na Tiffa.
Halafu nilipata habari kwamba Bi Sandra alikuwa wa kwanza kumtongoza jamaa na kumpa ahadi kedekede kama atakubali kuwa naye.Jamaa alitia ngumu mwishoye akalainika.
Ila kwa kweli Bi Sandra naye amezidi umapepe ,mwishoe amtie jakamoyo Diamond bure ashindwe kutengeneza ngoma nzuri kwa stress kama hizi na fedheha.
Haya cc wambea wote mje hapa tujadiliane.
Hajawahi kukukaza kweli?Naona hamumjui chibu vizuri yule ndio diamond Simba originally Wa Tandale Chibu hazulimiki ni mjanja kupita sungura ndio maana mnaona matunda ya kazi yake yanaonekana waziwazi hataki utani kwenye pesa!.... Kiufupi ni kwamba hata akimjengea jamaa nyumba...jina LA hati litakuwa lake au La mamake sasa jamaa kama anajidai muhuni chibu ndio muhuni zaidi Wa Tandale....akikuhonga gari unauza LA zamani unaongeza pesa yako na yeye anaongeza kidogo ndio akununulie hachuniki!... Kaulizeni wasichana aliowakaza.....Simba Wa tandale anaona mbali sana Zari mwenyewe ajipange.
Best Nina shida na weweHivi ndo mapenzi hayana umri eh! ila tuongee ukweli inauma sana kiben ten kama hichi kimkamue na kumkaza mama mtu mzima.Nadhani hapa domo kakomeshwa haki kila muosha...huoshwa!