Tetesi: Diamond kumjengea bonge la jumba na kumpa baadhi ya mali zake baba yake wa kambo

Tetesi: Diamond kumjengea bonge la jumba na kumpa baadhi ya mali zake baba yake wa kambo

Haya mambo anayaweza msaga sumu,
Hii habari ni ya uongo kabisa
 
Kwakweli ni aibu kubwa mama kuolewa na mtoto wako siyo vzuri yani bora hata wangeficha kwakweli
 
Waislam wanakwambia kapata swawabu
Mmmh ni sawa kama dini inasema ivo ila Kwakwel inabidi kuangalia na mazingira yenyewe mama una watoto unahangaika nini kwenda kuolewa na vijana bora angeolewa na mzee mwenziye ni sawa.
Hata uyo mkaka nae hajielewi anamuoa bibi mwenye wajuu ili iwaje?wataweza kweli kutengeneza familia????
Yan kuna vitu ukifikiria zaidi naona siyo sawa Kwakwel
 
Mie naona huyo ni baba ake anastahili yote kwa mwanae ‘ halafu sio ishu sana mama diamond kuolewa .
 
Namuona BABU kapigilia kandambili/ndala/flipflop na soksi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inshort huyu kaka naskia ni mjanja sana yani yupo kimaslahi zaidi. Na nnasikia huyu mama kwa sasa ni mjamzito na soon anatarajia kujifungua yaani huyu kaka ndio anayefaidi hela za diamond kwa sasa kupitia mgongo wa mama yake bi sandra

Kiukweli mapenzi hayana umri so tumuacheni na maisha yale wapendwa ila huyu mama aache kujianika tu mitandaoni maaana anatia aibu sana
Naona hamumjui chibu vizuri yule ndio diamond Simba originally Wa Tandale Chibu hazulimiki ni mjanja kupita sungura ndio maana mnaona matunda ya kazi yake yanaonekana waziwazi hataki utani kwenye pesa!.... Kiufupi ni kwamba hata akimjengea jamaa nyumba...jina LA hati litakuwa lake au La mamake sasa jamaa kama anajidai muhuni chibu ndio muhuni zaidi Wa Tandale....akikuhonga gari unauza LA zamani unaongeza pesa yako na yeye anaongeza kidogo ndio akununulie hachuniki!... Kaulizeni wasichana aliowakaza.....Simba Wa tandale anaona mbali sana Zari mwenyewe ajipange.
 
Huyu Diamond hamsaidii baba yake mzazi, atawezaje kumsaidia Serengeti boy wa mama yake?
Huyo jamaa najua stories zake A to Z mwanzo nilijua wanamuwangia huyo mama kumbe ni kweli amepagawa na muhuni mzama chumvini mama hasikii haoni sijui kama hampelekei moto nyuma[emoji23][emoji23], maana mchizi mwenyewe ni muhuni tu msaka tonge ameamua ku infiltrate ngome kupitia weakness na ushamba wa huyo mama
 
Inshort huyu kaka naskia ni mjanja sana yani yupo kimaslahi zaidi. Na nnasikia huyu mama kwa sasa ni mjamzito na soon anatarajia kujifungua yaani huyu kaka ndio anayefaidi hela za diamond kwa sasa kupitia mgongo wa mama yake bi sandra

Kiukweli mapenzi hayana umri so tumuacheni na maisha yale wapendwa ila huyu mama aache kujianika tu mitandaoni maaana anatia aibu sana
Mapenzi hayana umri lakini sio kwa bi Sandra
Hii ni aibu aisee halafu ukiwakuta wamepozi utadhani bi Sandrya amevunja ungo last month[emoji23]
 
Back
Top Bottom