[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...we jamaa bana "muhuni" sana khaaHuyo jamaa najua stories zake A to Z mwanzo nilijua wanamuwangia huyo mama kumbe ni kweli amepagawa na muhuni mzama chumvini mama hasikii haoni sijui kama hampelekei moto nyuma[emoji23][emoji23], maana mchizi mwenyewe ni muhuni tu msaka tonge ameamua ku infiltrate ngome kupitia weakness na ushamba wa huyo mama
Niambie..Best Nina shida na wewe
Hawawezi kuandikwa sababu mama yake hajafanya upumbafu kama alio ufanya huyu mama Dai....Acheni ulofa na ufala, hivi mtu akiyaandika ya mama yako utajisikiaje? Hivi wewe utakuwa mtu wa namna gani? Maisha binafsi ya mtu(tena wa kariba ya mzazi )yanakuhusu nini? Mbona huandiki baba na mama yako walivyotongozana, na hata wanavyolala ili kuonyesha udaku wako? Acheni ujinga wenu jamaniiii....
Na wewe alivyokugonga ukataka akununulie gari ndiyo alivyokwambia kwanza ,uza hilo lako la zaman then nikuongezee Pesa ununue jipya???Naona hamumjui chibu vizuri yule ndio diamond Simba originally Wa Tandale Chibu hazulimiki ni mjanja kupita sungura ndio maana mnaona matunda ya kazi yake yanaonekana waziwazi hataki utani kwenye pesa!.... Kiufupi ni kwamba hata akimjengea jamaa nyumba...jina LA hati litakuwa lake au La mamake sasa jamaa kama anajidai muhuni chibu ndio muhuni zaidi Wa Tandale....akikuhonga gari unauza LA zamani unaongeza pesa yako na yeye anaongeza kidogo ndio akununulie hachuniki!... Kaulizeni wasichana aliowakaza.....Simba Wa tandale anaona mbali sana Zari mwenyewe ajipange.
Jamaa kajiongeza kiupande wakeJamaa hataki warembo wakumchuna kaona vyuma vimekaza bora awe zake marioo
Hapo ataonyesha mapenz ya kufa mtu akijua wallet yake haikauki .
Gegedo limemchanganya muoneeni hurumaHana hekima kabisa.
Mkongwee upo nimefurahi kukuona nilidhani watu wasiojulikana wameshakupoteza.Ila wamependezana, hana utoto wowote
Mkuu kwani wenye vipara wanaanza na umri gani?Naona anakipara sizani kama ni under 30 ..