Diamond kumpangishia nyumba ya kifahari Meninah

MI kwa kwel lemutuz nimeanza kumjulia humu binamu, yy nae kumbe ni celebrity? Mcheza filamu au muimbaj n yeye

Ni king wa social media bongo nzimaa,mzee wa mabebezi wakaleeeeee
 
Huyu anaforce ucelebrity...umaarufu wake mwisho insta, jf na kwa demu wake sintah....Kariakoo tu hajulikani...!

Kwa kuongezea ni King of Chawaputa.....

Weee ni celebrity mwenzioo
 

Dangote lazma ameshakanyoa haka ka dada ila inaonekana asali yake tamu
 
Hiyo asali tamu baada ya kuwa maarufu na kujua kuoga na kupaka mikorogo ?

Asee mi sio type yangu hako ka manzi ila nahisi kanatafuta kick kama yle mala## wa Bss
 
warumi hii habari umeileta wewe hapa halafu kesho utasema Diamond anatengeneza scandal magazetini ili kutafuta kiki!!! Sasa na wewe sijui ni miongoni mwa maajenti wa kumtafutia kiki Diamond, au!!!
 
Last edited by a moderator:
picha kubwa ya meninah tafadhalleee..
 
Napita kujisomea ya kale
Kweli aliwacheza wanawake dana dana tangu zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…