Diamond kumpangishia nyumba ya kifahari Meninah

Diamond kumpangishia nyumba ya kifahari Meninah

MI kwa kwel lemutuz nimeanza kumjulia humu binamu, yy nae kumbe ni celebrity? Mcheza filamu au muimbaj n yeye

Ni king wa social media bongo nzimaa,mzee wa mabebezi wakaleeeeee
 
Huyu anaforce ucelebrity...umaarufu wake mwisho insta, jf na kwa demu wake sintah....Kariakoo tu hajulikani...!

Kwa kuongezea ni King of Chawaputa.....

Weee ni celebrity mwenzioo
 
Habari mpya zinasema kuwa bado moyo wa Diamond Platnumz umemzimikia msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye figa matata Meninah licha ya wawili hao kukanusha mara kadhaa.

Inadaiwa kuwa Diamond kupitia watu wake wa karibu na wasiri wake anafanya juu chini kumpan gishia Meninah nyumba ya kifahari aidha maeneo ya Mikocheni au Mbezi beach jijini Dar es salaam ili Meninah ajue ni kaisi gani moyo wake hauna hali juu yake na pia kumnunulia gari la kutembelea ili asijisikie vibaya baada ya kumnunulia Wema !

Habari zaidi zinadai kuwa Diamond ambaye umaarufu wake mwaka huu umevuka mipaka ya nchini nyingi bado anaona Meninah anafaa kuwa mke wake kuliko Wema Sepetu, Na kwa mujibu wa vyanzo inadaiwa hata gari alilompa Wema Sepetu kama zawadi hivi karibuni kwenye birthday yake ilikuwa ni kutaka media na wafuatilia mambo ya watu hususani mastaa wanyamaze wakidhani Diamond hapindui wala hapumui kwa Wema Sepetu ila Meninah ndiye anadaiwa kumuweza Diamond ndani ya moyo wake.

Dangote lazma ameshakanyoa haka ka dada ila inaonekana asali yake tamu
 
warumi hii habari umeileta wewe hapa halafu kesho utasema Diamond anatengeneza scandal magazetini ili kutafuta kiki!!! Sasa na wewe sijui ni miongoni mwa maajenti wa kumtafutia kiki Diamond, au!!!
 
Last edited by a moderator:
picha kubwa ya meninah tafadhalleee..
 
Napita kujisomea ya kale
Kweli aliwacheza wanawake dana dana tangu zamani
 
Back
Top Bottom