Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
Yaani uyu dada siku zote nilikuwa nikimfatilia na kuamini ,ila hili la wema kwakweli nimemvuwa thamani,
Yaan hoja alizokuwa anamtetea wema hazina kichwa wala miguuu ,Simpondi wema hapana wala kufurahia kilichomkuta hapana ,
ila mange alishindwa kujenga hoja za msingi juu ya makonda ,kilichokuwa kinaendelea ,kwavile wema ni wake basi kwa gharama zozote angemtetea hata kama angekutwa na kosa