Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
eti wamtume komandoo marekani! au usa siku hizi imekua sinzaJitu flan malaya liko marekani linatumiwa umbea kwenye simu eti mnaliamini, Huyo Malaya si anapokea udaku tu hata wewe ukimtumia anapost, anajihakikishaiaje wakati yupo marekani.
Kwanza nawaza yani Serikali yote hii huwa anaitusi na viongozi wake, anawavua nguo, mnashindwa kutuma hata komamdoo mmoja tu wale wanaotuoneshaga mbwembwe Taifa wamlete huyu kenge?
Yani mnaweza mkamata Tundu Lissu na akili zake na alie madini katika nchi. Godbless lema kiongozi mwakilishi wa wananchi anaeota ndoto mnashindwa mkamata Malaya flani anaewavua nguo kweli?
Hao interpol kazi yao ni nn? Au Huyu bibi sio mchochezi
Sitaki kuamini mmemshindwa.
very trueYaani uyu dada siku zote nilikuwa nikimfatilia na kuamini ,ila hili la wema kwakweli nimemvuwa thamani,
Yaan hoja alizokuwa anamtetea wema hazina kichwa wala miguuu ,Simpondi wema hapana wala kufurahia kilichomkuta hapana ,
ila mange alishindwa kujenga hoja za msingi juu ya makonda ,kilichokuwa kinaendelea ,kwavile wema ni wake basi kwa gharama zozote angemtetea hata kama angekutwa na kosa
umeyajua lini hayo? wakati anamtukana lowasa lumumba nzima mlikuwa mnashangilia!
Unafiki huu sijui mtaacha lini?
Hilo janamke ni ongo kweliMwanadada Mange Kimambi Mtanzania toka Los Angels Aliandika kwamba Petit man ambaye ametuhumiwa na uuzaji na utumiaji madawa. Lakini Mange Kimambi nimeona screenshots kwa whatsapp akisema Huyo Petit man wakuache amepigwa sana na Makonda kuanzia nyumbani kwake mpaka kituo cha polisi cha kati lakini leo nimeona video inayomuonesha Huyo ajiitaye Petit man akitembea vizuri tu je Anadanganya???View attachment 468185
[emoji1] [emoji1] unataka kusema wale mbwembwe mwisho Zanzibar?eti wamtume komandoo marekani! au usa siku hizi imekua sinza
Nilichogundua uyu dada amejiona ameaminika na watu kwahiyo akisema chochote watu watamwamini,very true
kama alivyopandikiza kwa lowasa na lumumba nzima wakamsifia na kumwaminiNilichogundua uyu dada amejiona ameaminika na watu kwahiyo akisema chochote watu watamwamini,
Pia nilichogundua kuna shida katika wafuasi wake wanashindwa kuchambua ,yaan lolote analose mange basi wanalibeba ,wanasahau naye binaadamu ana madhaifu yake ,na huwenda wakati mwingine akatumia chance ya watu kumwamini akapandikiza yasokuwemo
Hilo ndo tatizo lake hataki naye kuambiwa ukweli kama mkulu,Mange hayupo humu? Ajitokeze basi maana insta ukim challenge tu ukamshinda ana kublock