Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Nahisi walishajua ni chizi mtafta kiki hivyo wakaamua kumdharau na kumpotezea
 
kumbuka ni mwana CCM mwenzenu
 
Shida mnapenda sana udaku na habari za kijinga hadi mnaona huyo mropokaji Mange kama reliable source ya information. Mtu mwenye akili timamu huwezi ukakaa unamfatilia Mange.
wana CCM wengi hamumpendi anawavua nguo
 
hao Interpol unafikiri wanaingia tuu kama ndani kwa magufuli??
 
Pamoja na matatzo yake lkn page yake hata wasaidiz wa sizonje huiperuz kila baada ya nusu saa halaf hanar za petit mange kazitolea kwenye clip ya wema so sioni kwann mnamshambulia na umalaya wake
Hata mimi nashangaa
 
Ahaa chama chako kinajieleza kwann umeandika hiki
 
Hahahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili tatizo hata yule kaka yake bonge nyanya le mutuz naye ana tabia hiyo .afu wote walikuwa huko USA japo babu lemutuz karud bongo
Mange hayupo humu? Ajitokeze basi maana insta ukim challenge tu ukamshinda ana kublock
 

Interpol ya nini unadhani marekani raia wamefungwa midomo kama huyo rais wenu magufuli na crew yake walivyowafunga? Kwa marekani, hamna cha kumkamatia kabisa. Ubabe huko bongo
 
Interpol ya nini unadhani marekani raia wamefungwa midomo kama huyo rais wenu magufuli na crew yake walivyowafunga? Kwa marekani, hamna cha kumkamatia kabisa. Ubabe huko bongo
Namuona Mange mwenyewe ndio huyu leo umekuja, sasa kama marekani awazibwi mdomo kwann asifungue akaunti ya kuisema serikali ya marekani na watu wa huko? Kiherehere cha nn akaunti yake kulenga bongo ambako tumezibwa midomo?

Msituletee usengelema wa marekani bana, America haiwezi kuwa Tanzania, na democrasia ya marekani na utamafuni hauwezi kuwa wetu. Ndio maana hata wafirwaji Tanzania sio halali mbona hamuwatetei wawe huru kama Amerika

Mwambie Mange aendelee kuuza **** Marekani ila siku akitua Bonge ataandika definition ya Mabwe-pande kwa Makalio
 
imekuuma eeh Mange ni hero japi CCM hampendi aseme ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…