binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Mkubwa mzima unaamini list za kuedit.Listi mpya ummeiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubwa mzima unaamini list za kuedit.Listi mpya ummeiona
Kwakuwa we ni RC?Dimond na genge lake la Madale wanazidi kutetemeka maana hivi karibuni msala utaamia sebuleni kwake
Makonda ni mlezi wa WCB [emoji3] [emoji3] [emoji3] utasubiri snDimond na genge lake la Madale wanazidi kutetemeka maana hivi karibuni msala utaamia sebuleni kwake
Zari nae anapenda sana MABOLOMwenzangu nilisikia Rommy alionja mama T.
Ilileta mtafaruku mkubwa sana kwenye familia, mama alidai na matatizo yote ya Wema lakini hajawahi kuwachanganya ndugu kiasi hicho, ndiyo maana alimtumia na salamu wakati wa birthday yake mwaka jana.Zari nae anapenda sana MABOLO
Asa Tommy nae wa kumpa K kweli...hakana hata afya!
Hata mtoto wa la pili haezi amini hilo mkuu[emoji23] [emoji23]Kama kuna mtu anaamini Diamond hela Zake zinatokana na muziki, huyo ni mwendawazimu kabisa
Kwenye kitu cheupe peee kama karatasiWe unahis zinatoka wap
Kumbe nyimbo zina mengiKwenye ule wimbo wa 'bado bado' kaweka kibwagizo eti apewe 'chaukucha tu asije zima'...!
Monicca kuna kitu kilikuwa kinanitia mashaka hivi kweli kwa muziki gani anaofanya vee money ambao unamfanya atengeneze video za ghali hvyoSky Eclat siku zote usijilazimishe kufanana na mtu fulani kimaisha, watu wana siri nzito za mafanikio yao wengine hata amani nayo hawana, heri uwe na kidogo ambacho utakuwa na amani nacho.
Ilileta mtafaruku mkubwa sana kwenye familia, mama alidai na matatizo yote ya Wema lakini hajawahi kuwachanganya ndugu kiasi hicho, ndiyo maana alimtumia na salamu wakati wa birthday yake mwaka jana.
Ninaamini movie hii kama isipozimwa haraka... haiwezi kumwacha salama Mond na Jux, time will tell..Hawa watu ni ndugu wa Mondi. Je, atawawekea dhamana baada ya kuwa na tuhuma za ngada? Au atajiweka mbali ili asiharibu image yake?
[emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78]
======
View attachment 467154
Petit Man
View attachment 467156
Rommy Jones
Kama kuna mtu anaamini Diamond hela Zake zinatokana na muziki, huyo ni mwendawazimu kabisa
Kwa taarifa yako diamond ashawekewa mitego Mara kibao pale airport na kumpekua hawajawahi kumkuta na hayo makitu.Ninaamini movie hii kama isipozimwa haraka... haiwezi kumwacha salama Mond na Jux, time will tell..
Toka lini petit man akawa ndugu yake Diamond?
Tulia tuKwa taarifa yako diamond ashawekewa mitego Mara kibao pale airport na kumpekua hawajawahi kumkuta na hayo makitu.
Mara kibao huwa wanamueka kizuizini kumpekua hawampati na kitu , mara nyingi anapoenda au kutoka sauzi kuna watu wenye chuki nae huwa wanapeleka umbea airport lakini hawampati na kitu.
Mwaka Jana alitakiwa akatumbuize afrimma , alifika airport wakamueka kizuizini kumkagua hadi akachelewa ndege na akaishia kubaki bongo maana tuzo zikiwa zinatolewa kesho yake. Wala hakuwa na mzigo wowote
Endelea kusubiri kwendokasi MsataTulia tu
Hata hawa akina Nyandu Tozi walianza kusemwa taratibu hatimae Makonda kapata taarifa zao.
Tafuta nyuzi humu uone ni lini akina Nyandu Tozi walianza kuhisiwa kua wanauza Ngada ndo utajua watanzania wako macho siku hizi