Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Acha kuwa lipumbafu .,kuuza ngada na chuki vinausiana vipi??
Akanyee ndio tu kama atakutwa na hatia...akaimbe marry you segerea kama si ukonga
Kwa hadhi aliyonayo mond sasa hv kwa taifa ni sawa na waziri mkuu mstaafu,hauwezi kumfunga mheshimiwa....usifikirie kwa kutumia masaburi
 
wise-comedian huo msemo wa "counting them benjamin" unamanisha nini?
Humjui Benjamin Franklyn ni among fathers of United state na yuko kwenye $ ndiyo maana hiyo pesa inaitwa Benjamin; so counting them Benjamin ni kuhesabu pesa

c19f7adaa39ed93a74733696e7f1f7f3.jpg
 
Dimond na genge lake la Madale wanazidi kutetemeka maana hivi karibuni msala utaamia sebuleni kwake
 
Back
Top Bottom