BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Barua ime editiwa??Mnayempigia kelele mwenyewe keshasema barua ni fake....hahahaaa hizi team bana mpaka mkaedit barua ili kuwa sawa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barua ime editiwa??Mnayempigia kelele mwenyewe keshasema barua ni fake....hahahaaa hizi team bana mpaka mkaedit barua ili kuwa sawa...
Hivi yuko wapi siku izi?Mpaka sasa chid benz hana taarifa km anahitajika central na hata angekua na taarifa pia asingeenda kwa sababu hawezi, ni bora tu wakamchukue.
benjamins ni mahela,counting ni kuhesabuwise-comedian huo msemo wa "counting them benjamin" unamanisha nini?
Kwa hadhi aliyonayo mond sasa hv kwa taifa ni sawa na waziri mkuu mstaafu,hauwezi kumfunga mheshimiwa....usifikirie kwa kutumia masaburiAcha kuwa lipumbafu .,kuuza ngada na chuki vinausiana vipi??
Akanyee ndio tu kama atakutwa na hatia...akaimbe marry you segerea kama si ukonga
Huo ni upotoshaji mkubwa. Kama ikithibitika anahusika, sheria ichukue mkondo wake tu.Kwa hadhi aliyonayo mond sasa hv kwa taifa ni sawa na waziri mkuu mstaafu,hauwezi kumfunga mheshimiwa....usifikirie kwa kutumia masaburi
Hahaha kwaiyo umeleta hii pumba kumfurahisha nani ?
Na nakusimanga tena kama unasubiri diamond atajwe tafuta kiti ukae kabisaMkuu kunasiku niliuliza hapa, ni huu huu mziki ndiyo umenunua nyumba bondeni? Nilisimangwa kuwa nina roho ya korosho.
Humjui Benjamin Franklyn ni among fathers of United state na yuko kwenye $ ndiyo maana hiyo pesa inaitwa Benjamin; so counting them Benjamin ni kuhesabu pesawise-comedian huo msemo wa "counting them benjamin" unamanisha nini?
kwani haiwezekani?Barua ime editiwa??
Huwez mfunga balozi wa Tz kiburudaniHuo ni upotoshaji mkubwa. Kama ikithibitika anahusika, sheria ichukue mkondo wake tu.
Mbona haina muhuri wa aina yeyote
Chaukucha sio unga! Kipande cha sigara cha mwisho kabisa wavutaji ndio wanajua tofauti na hapo unatudanganya tuuKwenye ule wimbo wa 'bado bado' kaweka kibwagizo eti apewe 'chaukucha tu asije zima'...!
kwa maana hakuna tiba zaidi ya hiyo mkuu waswahili husema "mja haachi..............."Hiyo ndo dawa hapo hakuna namna!!!
Hata hivyo bado ni uongoMkuu kunasiku niliuliza hapa, ni huu huu mziki ndiyo umenunua nyumba bondeni? Nilisimangwa kuwa nina roho ya korosho.
Hiyo labda huko mkoani kwenu.Chaukucha sio unga! Kipande cha sigara cha mwisho kabisa wavutaji ndio wanajua tofauti na hapo unatudanganya tuu
Na matokeo ya form fourAah movie tu ya february ili tusahau kama tuliahidiwa ajira
Kwan shemeji sio ndugu... O mi ndo sielewiToka lini petit man akawa ndugu yake Diamond?
Shemeji yake Diamond, kamuoa EsmaToka lini petit man akawa ndugu yake Diamond?
Walikua chui na paka,sasa wamepatana na wanaish pamoja wanalea mtt wao.Ni kweli alizaa Na dada wa mondi lakini ni chui Na paka mkuu