Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Zari nae anapenda sana MABOLO

Asa Tommy nae wa kumpa K kweli...hakana hata afya!
Ilileta mtafaruku mkubwa sana kwenye familia, mama alidai na matatizo yote ya Wema lakini hajawahi kuwachanganya ndugu kiasi hicho, ndiyo maana alimtumia na salamu wakati wa birthday yake mwaka jana.
 
Akuna kitu hapo chama cha magamba na chama cha madawa ni kitu kimoja ccm² utasikia hao wauza unga wamepewa adhabu ya kulipwa fidia ya mamilioni fisiemu bwana !!! ni shida
 
Sky Eclat siku zote usijilazimishe kufanana na mtu fulani kimaisha, watu wana siri nzito za mafanikio yao wengine hata amani nayo hawana, heri uwe na kidogo ambacho utakuwa na amani nacho.
Monicca kuna kitu kilikuwa kinanitia mashaka hivi kweli kwa muziki gani anaofanya vee money ambao unamfanya atengeneze video za ghali hvyo
 
Ilileta mtafaruku mkubwa sana kwenye familia, mama alidai na matatizo yote ya Wema lakini hajawahi kuwachanganya ndugu kiasi hicho, ndiyo maana alimtumia na salamu wakati wa birthday yake mwaka jana.

Haiwezekani Zari kufanya hayo jamani, haikutokea TZ ndio itokee huko?

Wasingeweza kuwa wote hadi leo, I mean D and Z.
 
Ninaamini movie hii kama isipozimwa haraka... haiwezi kumwacha salama Mond na Jux, time will tell..
Kwa taarifa yako diamond ashawekewa mitego Mara kibao pale airport na kumpekua hawajawahi kumkuta na hayo makitu.
Mara kibao huwa wanamueka kizuizini kumpekua hawampati na kitu , mara nyingi anapoenda au kutoka sauzi kuna watu wenye chuki nae huwa wanapeleka umbea airport lakini hawampati na kitu.
Mwaka Jana alitakiwa akatumbuize afrimma , alifika airport wakamueka kizuizini kumkagua hadi akachelewa ndege na akaishia kubaki bongo maana tuzo zikiwa zinatolewa kesho yake. Wala hakuwa na mzigo wowote
 
Tulia tu
Hata hawa akina Nyandu Tozi walianza kusemwa taratibu hatimae Makonda kapata taarifa zao.
Tafuta nyuzi humu uone ni lini akina Nyandu Tozi walianza kuhisiwa kua wanauza Ngada ndo utajua watanzania wako macho siku hizi
 
Endelea kusubiri kwendokasi Msata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…